MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Ukiona hivyo ujue wanakaribiabkumuachia
Hehehe nimecheka sana....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona hivyo ujue wanakaribiabkumuachia
Wwe unataka kila wanacho find out waje kukwambia!! Ww kweli punguaniEti plate number: AGX 404 MC(hamna number plate kama hizi Kenya), number yenyewe wameipata baada ya wiki nzima. Eti na ndio sasa wameanza shughuli ya uchunguzi wa kuthibitisha iliingia kutoka nchi gani haswa. [emoji38][emoji38][emoji38] Hii ni zaidi ya Ze Comedy Show.
Eti plate number: AGX 404 MC(hamna number plate kama hizi Kenya), number yenyewe wameipata baada ya wiki nzima. Eti na ndio sasa wameanza shughuli ya uchunguzi wa kuthibitisha iliingia kutoka nchi gani haswa. [emoji38][emoji38][emoji38] Hii ni zaidi ya Ze Comedy Show.
Sasa mbona leo wametuambia? Si wangenyamazia tu hadi siku ya kiama. Acha kutumia kichwa chako kubebea meno tu.Wwe unataka kila wanacho find out waje kukwambia!! Ww kweli punguani
Wewe ata kichwa hauna kabisa, unaenda kama kuku aliekatwa shingoSasa mbona leo wametuambia? Si wangenyamazia tu hadi siku ya kiama. Acha kutumia kichwa chako kubebea meno tu.
Baby nani kasema ni wakenya?This horror movie tho.
Implications of foreigners. Mara katekwa na wazungu wawili Mara wakenya ndio walimteka. So much suspense in this horror cinema.
There are a lot of confused elements here who feign to know everything yet they know nothing. Let's just wait for the drama to unfold.
Hafu baby lile jibu langu vipi?This horror movie tho.
Implications of foreigners. Mara katekwa na wazungu wawili Mara wakenya ndio walimteka. So much suspense in this horror cinema.
There are a lot of confused elements here who feign to know everything yet they know nothing. Let's just wait for the drama to unfold.
Hafu baby lile jibu langu vipi?[/QUOTE
Jibu lipi?
Wengi wenu humu wanawasingizia wakenyaBaby nani kasema ni wakenya?
Kwaiyo baby ndo ukahitimisha kuwa Tanzania imesema?Wengi wenu humu wanawasingizia wakenya
There is a thread by geuza ulale implicating KenyansKwaiyo baby ndo ukahitimisha kuwa Tanzania imesema?
😂😂😂😂😂1.5 bill dollar ni sawa na shingap ya tz??
3,300,000,000,000-=3.3TrillionTsh1.5 bill dollar ni sawa na shingap ya tz??
3,300,000,000,000-=3.3TrillionTsh
Kila mara mimi husikia forces za Tz ni Kali, intelligence ya Tz ni Kali. Sasa iweje majambazi from a neighbouring country waweze kukidnap Mtz right in your economic capital.Police say car from neighbouring country used in kidnap of Tanzanian billionaire
FRIDAY OCTOBER 19 2018
![]()
Tanzania's Inspector General of Police Simon Sirro addressing journalists at police headquarters in Dar es salaam on October 19,2018. The police chief revealed what he said was crucial information in the abduction of billionaire businessman Mohammed Dewji. PHOTO | BBC
In Summary
- Inspector General of Police Simon Sirro said that the dark blue Toyota Surf used in the kidnapping had been driven from a neighbouring country, which he did not name.
Tanzania police chief Friday revealed what he said was crucial information in the abduction of billionaire businessman Mohammed Dewji.
Inspector General of Police Simon Sirro said that the dark blue Toyota Surf used in the kidnapping had been driven from a neighbouring country, which he did not name.
He said that the car, registration number AGX 404 MC, entered the country on September 1, 2018, driven by a person identified as Obasanjo Zacharias Junior. He however did not reveal the border entry point.
Mr Dewji, popularly known as Mo, was abducted in the early hours of October 11 at the luxury Colosseum Hotel in Oyster Bay northwest Dar es Salaam where he had just arrived for a morning workout at the hotel's gym.
Last week, the authorities implicated foreigners saying Mr Dewji was captured by two white men.
Mr Sirro, addressing journalists in Dar es Salaam on Friday, said CCTV footage showed that the abductors fled eastwards from the hotel through Haile Selassie, Ally Hassan Mwinyi, Kimeri, Maandazi and Mwai Kibaki roads before disappearing in Mlalakuwa near Kawe roundabout.
RELATED CONTENT
He said the footage was obtained from cameras installed in residences in Oyster Bay.
- Faulty CCTV cameras add twist to Dar tycoon’s kidnap probe
- Police free 19 held over Dar tycoon's kidnapping
- Family of missing Tanzanian billionaire offers reward
- Who would want to kidnap Mo Dewji?
The police chief appealed to citizens to volunteer any information that would help in the investigations.
“We are in touch with our Interpol colleagues and investigations are ongoing,” he added.
On Monday, Mo's family announced a Tsh1 billion ($437,000) reward to anyone who would provide information that would help find him.
Car from foreign country used in kidnap of TZ billionaire