Police seizes Stakishari guns

Police seizes Stakishari guns

Mbona bunduki zenyewe zinakaa kuchapa hivi, yaani zina kutu na ni aibu kama zilikua zinatumika na polisi. Ndio maana walinyang'anywa kiurahisi hivyo.

wewe mtu umevunja mbavu zangu,halafu tokea lini wakikuyu wakawa watu wa kujifagilia kama unavyofanya,eti zimechapa juu umefoget venye maaskari wa garisa wanatupia kitu cha yeboyebo mguuni
 
wewe mtu umevunja mbavu zangu,halafu tokea lini wakikuyu wakawa watu wa kujifagilia kama unavyofanya,eti zimechapa juu umefoget venye maaskari wa garisa wanatupia kitu cha yeboyebo mguuni

falcon mombasa Uniambie kwa jinsi hiyo kama mnaweza huu mziki ukianza kurindima mjini. Kila siku mnawataja taja hawa sana, ilhali mnazinguliwa na hao vijana wa viroba na konyagi.

Al-Shabaab-fighters-014.jpg

Ngoma yenyewe inachezwa na vifaa kama hivi hapa, sio hizo bunduki zenye kutu.

General%2BService%2BUnit%2BRecce.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mbona bunduki zenyewe zinakaa kuchapa hivi, yaani zina kutu na ni aibu kama zilikua zinatumika na polisi. Ndio maana walinyang'anywa kiurahisi hivyo.
Hizo bunduki zilikuwa zimefichwa in septic tank with faeces on top
 
I was there during the ambush, hakuna chumvi wala pilipili ya ziada! Risasi ziliskika na miili mitatu ilitolewa ndani + wajinga wawili
uerevu wako kwenye umefika ndo ujinga wa polisi umeanza. you were there and witnessed it little did you know you were part of the ''Act''.
 
Sisi ni wastaarab si kama Police wa Kenya! Tunajibu Unyama kwa unyama wa kiistaarab hautakaa kuona miili yao ikitembezwa uchi wakati inavuja damu na matundu ya risasi kama KDF, Recce na KP wanavyofanya Garissa na ndani ya Kenya yoote! Si unaona tunawaita majambazi wakati wanaonekana kabisa ni magaidi ni katika kule kutotaka kushawishi jamii kuanza kuwa na sympathy nao! Ila chamoto wanakipata! Wa Uamsho wamegoma kula mara kibao ila wanalishwa kilazima huku kesi ikiendelea

ngoja waje wenyewe ushawagusa pabaya

Kenyans need evidence! kudanganywa kidanganyika hatutambui.
 
falcon mombasa Uniambie kwa jinsi hiyo kama mnaweza huu mziki ukianza kurindima mjini. Kila siku mnawataja taja hawa sana, ilhali mnazinguliwa na hao vijana wa viroba na konyagi.

Al-Shabaab-fighters-014.jpg

Ngoma yenyewe inachezwa na vifaa kama hivi hapa, sio hizo bunduki zenye kutu.

General%2BService%2BUnit%2BRecce.jpg

Kazi yako kutetea ujinga
 
Back
Top Bottom