falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
Mbona bunduki zenyewe zinakaa kuchapa hivi, yaani zina kutu na ni aibu kama zilikua zinatumika na polisi. Ndio maana walinyang'anywa kiurahisi hivyo.
wewe mtu umevunja mbavu zangu,halafu tokea lini wakikuyu wakawa watu wa kujifagilia kama unavyofanya,eti zimechapa juu umefoget venye maaskari wa garisa wanatupia kitu cha yeboyebo mguuni