Police seizes Stakishari guns

Mbona bunduki zenyewe zinakaa kuchapa hivi, yaani zina kutu na ni aibu kama zilikua zinatumika na polisi. Ndio maana walinyang'anywa kiurahisi hivyo.

wewe mtu umevunja mbavu zangu,halafu tokea lini wakikuyu wakawa watu wa kujifagilia kama unavyofanya,eti zimechapa juu umefoget venye maaskari wa garisa wanatupia kitu cha yeboyebo mguuni
 
wewe mtu umevunja mbavu zangu,halafu tokea lini wakikuyu wakawa watu wa kujifagilia kama unavyofanya,eti zimechapa juu umefoget venye maaskari wa garisa wanatupia kitu cha yeboyebo mguuni

falcon mombasa Uniambie kwa jinsi hiyo kama mnaweza huu mziki ukianza kurindima mjini. Kila siku mnawataja taja hawa sana, ilhali mnazinguliwa na hao vijana wa viroba na konyagi.

Ngoma yenyewe inachezwa na vifaa kama hivi hapa, sio hizo bunduki zenye kutu.

Last edited by a moderator:
Mbona bunduki zenyewe zinakaa kuchapa hivi, yaani zina kutu na ni aibu kama zilikua zinatumika na polisi. Ndio maana walinyang'anywa kiurahisi hivyo.
Hizo bunduki zilikuwa zimefichwa in septic tank with faeces on top
 
I was there during the ambush, hakuna chumvi wala pilipili ya ziada! Risasi ziliskika na miili mitatu ilitolewa ndani + wajinga wawili
uerevu wako kwenye umefika ndo ujinga wa polisi umeanza. you were there and witnessed it little did you know you were part of the ''Act''.
 
Kazi yako kutetea ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…