KERO Police TMS check haifanyi kazi tokea Desemba 2024

KERO Police TMS check haifanyi kazi tokea Desemba 2024

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Habari wadau wa Barabarani, kumekuwa na changamoto kubwa kwenye Mtandao wa Polisi wa kuangalia Traffic Fine za magari na madeni ya leseni, mtandao huu umeacha kufanya kazi tangu mwanzoni mwa Desemba 2024, huku ukisababisha madeni kuongezeka kwa kuchelewa kulipa.

Traffic akikusimamisha kukuandikia hakupi mkeka wako anasema “Utaukuta kwenye mtandao” na mtandao wenyewe ndo huo haufanyi kazi.

Hii imekuwa kero sana unapokamatwa kisa deni ambalo ungeweza kulilipa mapema.

IMG_9619.jpeg


Screenshot 2025-01-27 152635.png
 
Yani changamoto nna daiwa nimeshindwa kupata control number tangu December shida ni nini na mbadala wake tusaidiwe
 
Yani changamoto nna daiwa nimeshindwa kupata control number tangu December shida ni nini na mbadala wake tusaidiwe

Mpaka sasa leo hii tarehe 23 January 2025 bado ''TMS check online" haifunguki.
 
Barabarani napo Traffic police hawatoi notification ili kujua control number.

Kero tupu!
 
Habari wadau wa Barabarani, kumekuwa na changamoto kubwa kwenye mtandao wa Polisi wa kuangalia traffic fine za magari na madeni ya leseni , mtandao huu umeacha kufanya kazi tokea mwanzoni mwa Dec 2024, huku ukisababisha madeni kuongezeka kwa kuchelewa kulipa.

Traffic akikusimamisha kukuandikia hakupi mkeka wako anasema “utaukuta kwenye mtandao” na mtandao wenyewe ndo huo haufanyi kazi.. Hii imekuwa kero sana unapokamatwa kisa deni ambalo ungeweza kulilipa mapema.

View attachment 3198365
Tumia hii mkuu, GePG
 

Attachments

  • Screenshot_20250123_203851.jpg
    Screenshot_20250123_203851.jpg
    114.3 KB · Views: 5
Update nilitumia app ya GePG nikafanikiwa kupata controol number ila nimekuta penalty fine ya 30k nimelipa 60k yote
 
Back
Top Bottom