A
Anonymous
Guest
Habari wadau wa Barabarani, kumekuwa na changamoto kubwa kwenye Mtandao wa Polisi wa kuangalia Traffic Fine za magari na madeni ya leseni, mtandao huu umeacha kufanya kazi tangu mwanzoni mwa Desemba 2024, huku ukisababisha madeni kuongezeka kwa kuchelewa kulipa.
Traffic akikusimamisha kukuandikia hakupi mkeka wako anasema “Utaukuta kwenye mtandao” na mtandao wenyewe ndo huo haufanyi kazi.
Hii imekuwa kero sana unapokamatwa kisa deni ambalo ungeweza kulilipa mapema.