DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Agnes Amos Liku, Miaka 35, Mkazi wa Mwanzongumu, Kata ya Msimbu, Wilaya ya Kisarawe kwa kutoa taarifa za uongo kuwa amejifungua mtoto katika Zahanati ya kijiji cha Mwanzongumu kisha mtoto wake kuchukuliwa na Afisa Tabibu asiyefahamika.
Ni, Kwamba mnamo tarehe 06.01.2026 majira ya saa 12:00 jioni Agnes alifika katika zahanati ya Mwanzongumu akiwa na rafiki yake aliyefahamika kwa jina la Eveline Mazigo. Mtuhumiwa alieleza kuwa na uchungu wa kujifungua hivyo Afisa Tabibu wa zahanati hiyo aitwaye Tatu Nyahoza alimpoakea na kumpima kisha kubaini kuwa njia ya uzazi bado haijafunguka kuruhusu mama huyo kujifungua.