CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Kwenye nchi ya kusadikika kuna Rais alipata D moja tu O Level.Na siyo vizuri kuwalazimisha watoto wawe vipanga, na wakati wenyewe wamezaliwa na akili za D 2 tu.
Kwenye nchi ya kusadikika kuna Rais alipata D moja tu O Level.Na siyo vizuri kuwalazimisha watoto wawe vipanga, na wakati wenyewe wamezaliwa na akili za D 2 tu.
Vizuri,hatuwezi kuwa na taifa la watu wazushi na waongo
Nimekukataza kupayuka. Hipo ni nini? Neno ni ipoSwali kadi yake ya kliniki ya ujauzito hipo wapi?.
Hii kesi kama hii ilitokea kenya .Mama wa watu aliambiwa kajifungua mtoto mmoja kumbe mapacha kutokana na kuzimia baada ya kujifungua.
Miaka ilipokwenda watoto wakakuwa siku moja wakakutana shuleni.Hii stori hipo BBC Swahili.Hiyo kauli kusema uwongo ndio mtakuja kusema ukweli karma imefika.
Hivi nyie waandishi wa Tanzania mbona mpo useless sana? Taarifa nyingi sana huwa zinaishia hewani na hakuna follow up za kupata ukweli.This is very interesting story inahitaji IJ!, Agnes ni kweli alikuwa mja mzito na ni kweli amejifungua mtoto, pia ni kweli mtoto kachukuliwa kimiujiza, kisha tumbo kuwa restored to normal kimiujiza ili aonekane hana mimba na hajajifungua huku.kiukweli alikuwa na mimba, kajifungua tena mtoto ni kidume, kimeibwa!ndumba zimetembea!, asiposaidiwa, sasa hivi atapigwa mvua!
Mzazi mtarajiwa anapopokelewa hospital lazima apimwe kwanza ndipo apokelewe maternity, Agness kaja na ujauzito wake kapata addmission kisha umetoweka!
P
Kesi nyepesi hii ,kuna kitu kinaitwa (phantom pregnancy) mama atakua na dalili zote za ujauzito ,hata katumbo kanaweza kuwepo, hii inawapata sana ambao wameangaika kupata watoto ,huku mwenza anatahuitaji ,Mimi sijaelewa hii taarifa. Kwamba wahudumu wa Zahanati walimpeleka Chumba cha kujifungulia wakati hana mimba. Ina maana Tatu hakuona hata tumbo
Lakini Mkuu phantom it's rare kutokea...Kesi nyepesi hii ,kuna kitu kinaitwa (phantom pregnancy) mama atakua na dalili zote za ujauzito ,hata katumbo kanaweza kuwepo, hii inawapata sana ambao wameangaika kupata watoto ,huku mwenza anatahuitaji ,
Ndo maana inashauriwa mama kabla ya kuanzishiwa clinic afenye Obstetric U/S ili kuondoa changamoto kama izi,
Mgonjwa mwenyewe inasemekana ni huko kwenye zahanati , sina shida na waganga wetu kule ambao wanatusaidia sana , na ndugu zetu pata huduma.Lakini Mkuu phantom it's rare kutokea...
Nafikiria ilitakiwa itolewe clarification na wenye professionals kuliko ilivyotolewa hivyo, ni mkanganyiko na inazaa maswali mengi... Hasa wakati ana attend Visits zake kula RCH, kulikuwa kinatokea nini kule kabla hajaja kupandishwa kwenye hicho kitanda cha Labor or Maybe wangetuambia it's Molar at least
DuhUkiona zee la jf linajibu hivi wewe nani usitoe neno🤣?
We lizee unajua njia ya uzazi Tanzania inapimwa kwa kumpiga kidore mkeo na wale madr hapo uwa wanaanza na kugusa kisimi kama kimelainika?🤣😂🤣😂 Je WAJUA wanao Pima njia ya uzazi wakitoka kwenye kisimi wanatumbukiza mavidore sehemu hisiyojulikana? Tanzania miaka 64 ya uhuru Bado mkeo anatombwa na vidore kupimwa njia
Hoja huyu Askari HAKUWA na mimba alikuwa anavaa vile vigodoro akija clinick na pale alipoguswa tumbo kuonesha kama mtoto anacheza yeye aliwazuia madr kwa madai yakuwa akiguswa tumbo atazimia kumbe mwongo.
KIBAYA bwana wake ni polisi mkubwanooo hasiye na mtoto aliposikia shoga etu ana mimba walah jaman naomba niishie hapo
Nasikindikza ujumbe wangu kwa
Wimbo wa jamani Sina maana ndo NASIKIliza
The useual stuffHii taarifa ni spining
Hatari sana.Kwenye nchi ya kusadikika kuna Rais alipata D moja tu O Level.