Nadhani ana changamoto ya Afya ya AkiliVizuri,hatuwezi kuwa na taifa la watu wazushi na waongo
This is very interesting story inahitaji IJ!, Agnes ni kweli alikuwa mja mzito na ni kweli amejifungua mtoto, pia ni kweli mtoto kachukuliwa kimiujiza, kisha tumbo kuwa restored to normal kimiujiza ili aonekane hana mimba na hajajifungua huku.kiukweli alikuwa na mimba, kajifungua tena mtoto ni kidume, kimeibwa!ndumba zimetembea!, asiposaidiwa, sasa hivi atapigwa mvua!Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Agnes Amos Liku, Miaka 35, Mkazi wa Mwanzongumu, Kata ya Msimbu, Wilaya ya Kisarawe kwa kutoa taarifa za uongo kuwa amejifungua mtoto katika Zahanati ya kijiji cha Mwanzongumu kisha mtoto wake kuchukuliwa na Afisa Tabibu asiyefahamika.
Ni, Kwamba mnamo tarehe 06.01.2026 majira ya saa 12:00 jioni Agnes alifika katika zahanati ya Mwanzongumu akiwa na rafiki yake aliyefahamika kwa jina la Eveline Mazigo. Mtuhumiwa alieleza kuwa na uchungu wa kujifungua hivyo Afisa Tabibu wa zahanati hiyo aitwaye Tatu Nyahoza alimpoakea na kumpima kisha kubaini kuwa njia ya uzazi bado haijafunguka kuruhusu mama huyo kujifungua.
Hii story tuitengenezee filamu tupige hela mkuu tuachane na vizawadi vya akina Ester Bulaya na COVID 19This is very interesting story inahitaji IJ!, Agnes ni kweli alikuwa mja mzito na ni kweli amejifungua mtoto, pia ni kweli mtoto kachukuliwa kimiujiza, kisha tumbo kuwa restored to normal kimiujiza ili aonekane hana mimba na hajajifungua huku.kiukweli alikuwa na mimba, kajifungua tena mtoto ni kidume, kimeibwa!ndumba zimetembea!, asiposaidiwa, sasa hivi atapigwa mvua!
Mzazi mtarajiwa anapopokelewa hospital lazima apimwe kwanza ndipo apokelewe maternity, Agness kaja na ujauzito wake kapata addmission kisha umetoweka!
P
Duh noma sanaThis is very interesting story inahitaji IJ!, Agnes ni kweli alikuwa mja mzito na ni kweli amejifungua mtoto, pia ni kweli mtoto kachukuliwa kimiujiza, kisha tumbo kuwa restored to normal kimiujiza ili aonekane hana mimba na hajajifungua huku.kiukweli alikuwa na mimba, kajifungua tena mtoto ni kidume, kimeibwa!ndumba zimetembea!, asiposaidiwa, sasa hivi atapigwa mvua!
Mzazi mtarajiwa anapopokelewa hospital lazima apimwe kwanza ndipo apokelewe maternity, Agness kaja na ujauzito wake kapata addmission kisha umetoweka!
P
Ukiona zee la jf linajibu hivi wewe nani usitoe neno🤣?This is very interesting story inahitaji IJ!, Agnes ni kweli alikuwa mja mzito na ni kweli amejifungua mtoto, pia ni kweli mtoto kachukuliwa kimiujiza, kisha tumbo kuwa restored to normal kimiujiza ili aonekane hana mimba na hajajifungua huku.kiukweli alikuwa na mimba, kajifungua tena mtoto ni kidume, kimeibwa!ndumba zimetembea!, asiposaidiwa, sasa hivi atapigwa mvua!
Mzazi mtarajiwa anapopokelewa hospital lazima apimwe kwanza ndipo apokelewe maternity, Agness kaja na ujauzito wake kapata addmission kisha umetoweka!
P