Polisi: Agnes Amos anashikiliwa kwa kutoa taarifa za uongo

Kuwatetea polisi kazi ngumu sana aisee.. Hadi kupelekwa hospitalini si ina maana uchungu ulishaanza? Hakufanyiwa vipimo vyovyote? Hiyo damu ukeni ilikuwa katolewa bikra hapo zahanati?
 
Nimekukataza kupayuka. Hipo ni nini? Neno ni ipo
 
Hivi nyie waandishi wa Tanzania mbona mpo useless sana? Taarifa nyingi sana huwa zinaishia hewani na hakuna follow up za kupata ukweli.
Mfano tu issue kama hii itapotea hewani, ila ingekua Kenya hao TAMWA wangeshapeleka media zote huko.

Hata issue ya kondo kwani waandishi mme verify kuwa ni za kweli? Hamna media imeenda kule mpaka leo. Very useless
 
Mimi sijaelewa hii taarifa. Kwamba wahudumu wa Zahanati walimpeleka Chumba cha kujifungulia wakati hana mimba. Ina maana Tatu hakuona hata tumbo
Kesi nyepesi hii ,kuna kitu kinaitwa (phantom pregnancy) mama atakua na dalili zote za ujauzito ,hata katumbo kanaweza kuwepo, hii inawapata sana ambao wameangaika kupata watoto ,huku mwenza anatahuitaji ,

Ndo maana inashauriwa mama kabla ya kuanzishiwa clinic afenye Obstetric U/S ili kuondoa changamoto kama izi,
 
Lakini Mkuu phantom it's rare kutokea...

Nafikiria ilitakiwa itolewe clarification na wenye professionals kuliko ilivyotolewa hivyo, ni mkanganyiko na inazaa maswali mengi... Hasa wakati ana attend Visits zake kula RCH, kulikuwa kinatokea nini kule kabla hajaja kupandishwa kwenye hicho kitanda cha Labor or Maybe wangetuambia it's Molar at least
 
Mgonjwa mwenyewe inasemekana ni huko kwenye zahanati , sina shida na waganga wetu kule ambao wanatusaidia sana , na ndugu zetu pata huduma.

Hoja phantom pregnancy sio kitu adimu sema nchi zetu hizi tumewekeza kwenye mav8 kuliko katika research kwa kutumia wataalam, zipo tu ,ukisema ni chache basi ya ulimwengu hujayaona.

All in all kama ni zahanati nivyema kuelewa wanaohudumiwa pale ni wa level gani ,namanisha wengi wao ni wale wa familia za chini , so hata mtoa huduma akimwambia fanya u/s unakuta hata pesa hana ya kwenda icho kipimo kinapatika , sikatai hoja yako , ikiwa ni pamoja na hilo dude umelitaja , nafikili uyu mama mpaka inatoka statement hata kama kweli haipo kitalauma may be wamejiridhisha maana ,Mama aliejifungua mpaka zifike siku 40 , hawezi fichika.

Naungana na wewe kwa asilimia 100 , tamko la police alijakaa sawa, thanks mkuu
 
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…