Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mkuu Mimi na ww hatujuikwani uwa Hawa ambani mission zao
Hata wao hawajuiMkuu Mimi na ww hatujui
Hii siyo taarifa bali ni kebehi na kejeri. Ni kiwango cha juu kabisa cha kiburi
Watu wanajilipua utakamata wangapi?!Siku hizi kuna kasheshe, Kurasa za mitandao ya kijamii ya jeshi la polisi zimefunga comment section, Msemaji mkuu wa serikali kurasa zake zimefunga comment section.
Wao wanatoa taarifa , hawataki kupokea feedback kutoka kwa wananchi.
Tanzania imejaa watu wapumbavu sana. Hawawezi jichukulia Sheria mkononi.Hatua tuliyofiikia saizi kuna watu wataanza rasmi kujichukulia sheria mkononi kama vyombo vyetu vya ulinzi ndio hivi.
Amen.Hii siyo taarifa bali ni kebehi.
Uzuri yana mwisho haya. Giza linapozidi ndipo kunapokaribia kukucha.
Mungu ni wetu sote.
Sioni mantiki ya wao kufanya hivyo, Yani unapost kitu then unafunga comment section.Siku hizi kuna kasheshe, Kurasa za mitandao ya kijamii ya jeshi la polisi zimefunga comment section, Msemaji mkuu wa serikali kurasa zake zimefunga comment section.
Wao wanatoa taarifa , hawataki kupokea feedback kutoka kwa wananchi.