Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Kupitia ukurasa wao wa X, Jeshi la Polisi Tanzania, wametoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa kuhusu binti aliyefanyiwa ukatili Yombo kuwa amekufa, na kusema taarifa hiyo ni uzushi usiokuwa na utu na ubinadamu ndani yake, na kwamba binti huyo yupo salama salimini.
Pia soma: Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa
Pia soma: Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa