Polisi: Binti aliyefanyiwa ukatili yupo salama salimini, puuzieni wanaosema amekufa

Kosa wanalo hawa Jeshi la Polisi kwa kutokutoa taarifa zilizo sahihi na kwa wakati sahihi kuhusiana na TUKIO hili lote, hususani taarifa za kuhusu watuhumiwa waliohusika kwenye kadhia hii. That's why speculations sasa hivi zinakuwa nyingi kwa kuwa taarifa sahihi na za kuaminika hazipo.

Polisi wakumbuke kwamba, pale taarifa sahihi au taarifa za ukweli zinapofichwa makusudi, Basi uongo hushika hatamu/kasi na unapata kuaminiwa na Watu wengi.
 
Polisi imekuwa ni chombo cha kutoa ufafanuzi badala ya kulinda Raia. Watu wanataka kuona kesi ipo mahakamani sio ufafanuzi
 
Kwa taarifa zinavyoongelewa huko mtaani , inasemekana yule Binti mdogo aliyedhalilishwa na wanajeshi , hakuweza kuachwa hai baada ya lile tukio, taarifa hizi nyingine zinatoka jeshini ndani na mtaani Kwa huyo dada.

Wenye mamlaka wamebidi wakae kuificha Siri hii Ili wananchi wasije kureact na wenye mamlaka.

Mtaani Kwa Binti hayupo na Wala haonekani, Wala polisi hayupo au haonekani.

Mwisho wa siku hizi ni tetesi na wakuthibitisha hili ni serikali kupitia jeshi la polisi na CDF
 
Wabongo kwa kuzusha hamjambošŸ™Œ
Ndio maana mnatapeliwa na wachungaji tuma kwa namba hii hadi wauza juice

Hata mbwa wa police akiona hii atajua tu ni fake news
View attachment 3063645
mleta mada hajasema maiti imepatikana, amesema binti haonekani kwahiyo inawezekana aliuawa

kuna tofauti

na ni kweli, hili jambo linavyofichwa linatia mashaka
 
Polisi imeishatoa "Taarifa Rasmi". Binti yupo mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…