Polisi: Binti aliyefanyiwa ukatili yupo salama salimini, puuzieni wanaosema amekufa

We unafikiri wao hawajui kama yupo hai hadi waseme yuko hai hali yakua hayuko hai? Unafikiri hawajui kusema yuko hai wakati hayuko hai ni kitanzi kwao? Ingekua hawana uhakika wasingejibu chochote.
Bila shaka wameshampata na wako nae.
 
Binafsi hacha niamini hii taarifa ya vyombo vya ulinzi ,vinginevyo hali ya hewa inaweza kuwa mbaya . Kama yuko salama jambo jema sana.thanks
 
We unafikiri wao hawajui kama yupo hai hadi waseme yuko hai hali yakua hayuko hai? Unafikiri hawajui kusema yuko hai wakati hayuko hai ni kitanzi kwao? Ingekua hawana uhakika wasingejibu chochote.
Bila shaka wameshampata na wako nae.
Sasa wao wanamtafuta msichana au hao wahalifu? Mimi nimesema wao shida yao hawako sharp katika kutoa habari wanatakiwa kujulisha watu kinachoendelea usiri wa nini wakati watu wameshaona kila kitu. Kujifanya kumlinda msichana wakijuwa wazi picha imeshatembea unaficha nini? Dunia imebadilika wao bado wanaishi kama wako 1990
 
Title ya habari imenifanya mwili wote kufa ganzi , ila chini nikakutana na tamko la police ila bado sipo sawa mdaa huu , mtakuja tuhua kwa presha wakuu , Naamini kama police yupo salama haina shida tuvumilie mda mwalim
 
Kwa akili hizi we jamaa hujawahi kutapeliwa na wale jamaa wa hiyo hela tuma kwa namba hii kweli?
Mkuu kwani shida iko wapi ?
Sometimes huwezi ukafuatilia kila kitu aisee kuomba kupata tu uhakika nishaonekana kilaza 🤣🤣🤣
Ila humu kuna much know sana
 
Moja kama likachukuliwa poa basi Rais wa nchi hii, hata safari za kidiplomasia hazitakua na maana yote ambazo amefanya , pili wasemao amefaliki wenda hawajui pamoja na ukatili wote ule umefanyika ila wenda kwa sasa analindwa kuliko tufikiliavyo, na kama sivyo Tz itachukuliwa kama Taifa takataka katika dunia hii.

Tamko la police bado nipo na imani nalo , ila wajichanganye ,utawaka moto ambao sio wa wadunia hii .

Mda mwalim
 
Hoja police wanasema yupo salama kwa sasa , hoja hapa tusubiri ni kauli ipi nyingine itatoka , na vyema police kuudhibitishia umma , maana hii ikawa kweli na siombei inaweza ingiza taifa kwenye gharama kubwa , simple sana.

Na ipo mbinu nyepesi sana ya kudhihilisha kwa umma , mfano wampeleke Ikulu uyu bint akutane na Rais private then Rais atoe tamko kwa wananchi kama bado wapo na sababu za kumficha kwa ajili ya uchunguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…