Polisi: Binti aliyefanyiwa ukatili yupo salama salimini, puuzieni wanaosema amekufa

Na ikitokea hao jamaa wakapandishwa mahakamani
Mahakama itajaa watu,walivyokuwa na hasira .....
Na hao jamaa wakipelekwa mahabusu πŸ˜„ watapata tabu sana na ujeda wao hivyo hivyo

Ova
 
Kama watakuwa wametenda jambo hilo itakuwa ni unyama uliyopitiliza lakini mtu unajiuliza waliyafanya yote hayo na wamejianika sura zao walijiamini nini? Nawasikitikia sana maana hata wasipoadhibiwa na mfumo wa haki wa nchi lakini wenye ndugu yao sidhani kama watawaacha waishi kwa amani.
 
Uzushi wa aina hii ni jambo baya, lakini kwa mazingira ya kesi hii huu uzushi unaweza kuwa ni maono au ndoto za watu wenye nia njema, hivyo tahadhari za kumpatia ulinzi huyo binti zichukuliwe.
 
Inamaana ile taarifa ya wao kukana kumshikilia Kombo,wewe uliiamini moja kwa moja,na walipokuja kukiri kua Kombo wanaye akili yako haikushtuka kua mbona walikana mwanzo na sasa wamekubali?
Usiwe unameza kilakitu.
Mwanzo hawakuwa nae, wakasema na baadae wakawa nae, wakasema. Hujaelewa nini hapo?
 
Mwanzo hawakuwa nae, wakasema na baadae wakawa nae, wakasema. Hujaelewa nini hapo?
Ulisikia maelezo ya Kombo au humuamini yeye unaamini CHOMBO?
Mkuu umekuja lini Tanzania?
Ukute umesajiliwa kua raia juzi tu hapa,labda wewe ulikua raia wa U.S.A,tukuhadithie kacha ya hapa.
 
Ulisikia maelezo ya Kombo au humuamini yeye unaamini CHOMBO?
Mkuu umekuja lini Tanzania?
Ukute umesajiliwa kua raia juzi tu hapa,labda wewe ulikua raia wa U.S.A,tukuhadithie kacha ya hapa.
Mimi ni Mtanzania "Akala n 'akarenge'!
 
Mhhh tukio baya sana hilo kwa maelezo tuu ya walioshuhudia hiyo video sipati picha kwa mfanyiwa..
Alikuww anatoa ushirikiano mpaka akaomba na Mma Vijana nao mchele mchele kwa kifupi Binti ni Man of the Match. Japo alichofanyiwa sio haki kabisa
 
KAMA KWELI alindwe polisi nao wasije wakajichanganya wakampasha kumtoa uvundo dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…