Polisi chunguzeni vizuri hivi vifo vya wanaume kwenye magesti. Mbona wanawake hawafi?

Polisi chunguzeni vizuri hivi vifo vya wanaume kwenye magesti. Mbona wanawake hawafi?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Visa vya wanaume kufia guest wakiwa na "*viruka njia" wao vimekuwa vingi sana siku hizi.

Wengi wanahusisha vifo hivi na kuzidiwa kwa mwanaume na dozi bab kubwa ya 6 kwa 6 anayopewa na mdada. Inaweza kuwa kweli lkn siyo mara zote.

Nimewahi kupewa stori kuwa kuna mbinu inafanywa na wadada wahuni siku hizi ili kujipatia kipato. Naomba polisi wafanye uchunguzi wa kina ktk hili.

Kwamba, mwanaume anapokuwa kampata mdada (Kiruka Njia) kwa ajili ya kustarehe naye, huwa wakati mwingine anapofushwa ama na penzi au na kilevi alichotumia na kujikuta akitoa Siri ya pesa alizo nazo. Hapa ndiyo huwa chanzo cha kifo cha wengi.

Mara moja dada huyu mhuni ataenda bafuni na kujipakaza sumu kwenye titi lake kisha kumpa mwanaume alinyonye wakiwa kwenye 6 kwa 6. Mwanaume akinyonya tu anakuwa kajitafutia umauti mwenyewe kwa kufa taratibu. Halafu pesa yake yote inabebwa.

WITO: Bakini njia kuu. Tamaa inaua.

N.B: Kiruka njia ni mdada anayetongozwa maeneo ya starehe ama njiani kwenye vyombo vya usafiri kisha kukubali kutoa mzigo muda huo huo.

20220730_170100.jpg
 
Matatizo ya moyo. Mara nyingi huwa hayana dalili.

Ukishakuwa 40+ at least vaa smart watch.
 
Mmh! Sasa mbona viben ten vinatembea na vibibi kizee hatusikii wakifa gesti!??
Ratio ni 1/100 kulinganisha na wanaume wazee na visichana.
Na magonjwa ya moyo huathiri wanaume kwa wingi kulinganisha na wanawake. Hasa wanaume weusi.
 
Mzee papuchi ya nn....tulia kula hewa ya bure
 
Ngoja kwanza,
Babu ODM Asprin....

Ni kweli kuna mbinu chafu, faulo kwa vizee....!?😜
 
52 wala siyo mzee sana. Watu wenye 52 ndiyo akina Jaffo, Mkamba, Kigwangalla, Mwigulu, Nape n.k. hao ndiyo wasile papuchi?
Wakati umri huo ndio wakuzipelekea moto vilivyo maana hela ipo. Cha msingi tuu uwe mtu wa mazoezi yaani unakuwa upo fit kinoma no mivitambi
 
Ewaaa! Sema watu hawapigi mazoezi, hivyo moyo huzungukwa na mafuta
Yaani nimetoka kupiga mazoezi wiki sita mfululizo nikakamatia mbususu nakwambia adi demu mwenye anasema mzabzab mbona umebadillika...unaenda muda mrefu doggy style🤣🤣🤣🤣

Jamani tufanye maziezi muundende nii kwaa ajili ya wala nauli tuu
 
Back
Top Bottom