PostGE2025 Polisi Dodoma: Katibu wa CHADEMA kanda ya kati hakukamatwa bali aliitwa Polisi kwa mahojiano

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limetoa taarifa kwa umma likikanusha madai yanayosambazwa mitandaoni kuhusu kukamatwa kwa Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kati.

Katika taarifa hiyo, polisi wamesema hakuna kiongozi wa chama hicho aliyekamatwa na kwamba taarifa zinazosambazwa ni za uongo na zinapotosha umma. Polisi wameeleza kuwa wako kazini kuendelea kulinda usalama na amani, na wamewataka wananchi kupuuza taarifa zisizo rasmi.

chdm.png
 
Utandawazi ndiyo unaowaumbua Polisi! Wanafikiri wanaweza kumkamata mtu kimyakimya harafu ikaisha hivi hivi.
 
Hakuna jeshi hapo. Ni takataka tu hiyo ya kulinda maslahi ya wahuni wachache.
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limetoa taarifa kwa umma likikanusha madai yanayosambazwa mitandaoni kuhusu kukamatwa kwa Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kati.

Katika taarifa hiyo, polisi wamesema hakuna kiongozi wa chama hicho aliyekamatwa na kwamba taarifa zinazosambazwa ni za uongo na zinapotosha umma. Polisi wameeleza kuwa wako kazini kuendelea kulinda usalama na amani, na wamewataka wananchi kupuuza taarifa zisizo rasmi.

View attachment 3518755
chadema masalia wanapenda kutunga porojo za kijingajinga sana,

wale vijana mamluki pale nairobi, wanafanya kazi ya kuchakata porojo kilofa sana aise :pedroP:
 
Nchi hii kuwa Kiongozi wa chama Cha ushindani ni mtihani mkubwa sana:
Tumemmis Shehe Mtopea,
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limetoa taarifa kwa umma likikanusha madai yanayosambazwa mitandaoni kuhusu kukamatwa kwa Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kati.

Katika taarifa hiyo, polisi wamesema hakuna kiongozi wa chama hicho aliyekamatwa na kwamba taarifa zinazosambazwa ni za uongo na zinapotosha umma. Polisi wameeleza kuwa wako kazini kuendelea kulinda usalama na amani, na wamewataka wananchi kupuuza taarifa zisizo rasmi.

View attachment 3518755
Polisi wanadhani uongo wao wa kila siku haujazoeleka mpaka leo hii? Mbona hawatupi maelezo ya Mdude alipo, aliyemuua Mzee Kibao, walipo au ilipo miili ya Gen Z waliopotea Oct’29th na utaratibu na order ya kuua ilivyotolewa mpaka vijana wetu wakauawa kama panya.
Watoe maelezo official kwa kina ili nasi tuhoji tutakapoona maelezo yao hayatushibishi.
 
Back
Top Bottom