polisi dodoma

Dodoma F.C., previously known as Polisi Dodoma, is a Tanzanian football club based in Dodoma. Their home games are played at 10,000 capacity Jamhuri Stadium. They played in the Tanzanian First Division League in the 2017/18 season. As of 2022, they play in the Tanzanian Premier League.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Dodoma: Tumeweka askari wa kutosha sana Mtaani, hali hiyo itaendelea mpaka tutakapoona tarehe iliyopangwa tumepita kwa Usalama

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limesema kuwa majukumu ya ulinzi na usalama wa rai na mali zao ni jukumu lao na sio kikundi cha watu Akizungumza wakati akihojiwa Jambo Tv, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ACP Gallus Hyera amesema kuwa kama watu wanazo taarifa zinazoashiria uvunjivu wa amani ni...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi Dodoma: Katibu wa CHADEMA kanda ya kati hakukamatwa bali aliitwa Polisi kwa mahojiano

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limetoa taarifa kwa umma likikanusha madai yanayosambazwa mitandaoni kuhusu kukamatwa kwa Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kati. Katika taarifa hiyo, polisi wamesema hakuna kiongozi wa chama hicho aliyekamatwa na kwamba taarifa zinazosambazwa ni za uongo na zinapotosha...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mhadhiri wa UDOM akamatwa na Polisi baada ya kurekodiwa akijadili maandamano ya Disemba 9 darasani

    Mhadhiri mmoja wa Chuo Kikuu cha Dodoma (ambaye hajatajwa jina) anadaiwa kukamatwa na polisi muda mfupi baada ya nyumba yake kufanyiwa upekuzi na kufanyiwa mahojiano katika kituo cha polisi kabla ya kuachiwa kwa dhamana. Mhadhiri huyo anatuhumiwa kujadili maandamano hayo ya D9 siku ya Desemba 8...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamanda wa Polisi Dodoma: Mtu atakayefanya uhalifu au kutotii sheria bila shuruti siku ya kupiga kura atachukuliwa hatua

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ACP Gallus Hyera amesema kuwa Jeshi la Polisi mkoani humo limejipanga kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani kama ulivyopangwa kwa mujibu wa sheria. Akizungumza na waandishi wa habari leo, ACP Gallus ameonya kwa yeyote atakayefanya uhalifu au kutotii sheria...
Back
Top Bottom