Mhadhiri mmoja wa Chuo Kikuu cha Dodoma (ambaye hajatajwa jina) anadaiwa kukamatwa na polisi muda mfupi baada ya nyumba yake kufanyiwa upekuzi na kufanyiwa mahojiano katika kituo cha polisi kabla ya kuachiwa kwa dhamana.
Mhadhiri huyo anatuhumiwa kujadili maandamano hayo ya D9 siku ya Desemba 8 kuanzia saa 4:30 asubuhi hadi saa 7:30 mchana, ambapo alidawia kuwachochea wanafunzi kushiriki katika maandamano yaliyofanyika Desemba 9.
Inadaiwa kuwa kauli hizo zilirekodiwa kwa siri darasani na mtu aliyedaiwa kuwa mpelelezi, kisha kupelekwa kwa mamlaka za juu zilizotoa agizo la kukamatwa kwake.