PostGE2025 Mhadhiri wa UDOM akamatwa na Polisi baada ya kurekodiwa akijadili maandamano ya Disemba 9 darasani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mhadhiri mmoja wa Chuo Kikuu cha Dodoma (ambaye hajatajwa jina) anadaiwa kukamatwa na polisi muda mfupi baada ya nyumba yake kufanyiwa upekuzi na kufanyiwa mahojiano katika kituo cha polisi kabla ya kuachiwa kwa dhamana.

Mhadhiri huyo anatuhumiwa kujadili maandamano hayo ya D9 siku ya Desemba 8 kuanzia saa 4:30 asubuhi hadi saa 7:30 mchana, ambapo alidawia kuwachochea wanafunzi kushiriki katika maandamano yaliyofanyika Desemba 9.

Inadaiwa kuwa kauli hizo zilirekodiwa kwa siri darasani na mtu aliyedaiwa kuwa mpelelezi, kisha kupelekwa kwa mamlaka za juu zilizotoa agizo la kukamatwa kwake.

Hivi sasa moango ni huo Tu. Kwani tupo kila sehemu, na tumeshawasimesha kuwa mzalendo ni noble did, lazima kuitetea JMT Kwa coat yeyote Ile na kuzuwia Machafuko . Sasa jiandae wako makanisani, vyuoni, majumbani l, shule, bar, barabarani mpaka Kwenye public transport. Kuongea, kupanga na kushirikia na wavunjifu wa Amani tunakukamata... Utatoka lakini huyo kuwa na Nia ya kuishi TENA. Sasa wale washujaa wa keybord kama kweli wanataka kuokomboa nchi wadanye hivyo hadharani na siyo kujifungia ndani kama Dec 9.. Ile Mo 29 tulikuwa na kijambo chetu mpaka kimalizoke then show ikaanza lakini hivi sasa tuko tayari Kwa show muda wowote, sehemu yeyote na kivuovyote ili kuilinda Tanzania
 
huyo ni afisa kipenyo...huwa wanaingizwa wengi vyuoni kila mwaka...Sio kila unayemuona chuoni ni mwanafunzi.

Kuna maafisa mwaka huu unamkuta UDOM, mwakani anajiunga IFM, mwaka unaofuata unamkuta SAUT, mwaka unaofuata yupo UDSM......hawahitimu hao.

Sasa jichanganye kuibagaza na kuisiribia serikali uone.
Hakuna lolote kwamba kila kozi anakuwepo au inakuaje? Huyo atakua ni informant tu ambao hao ni wengi kuliko waajiriwa wa TISS maana ni cheaper option kuliko kuweka agent kila chuo kila kozi yaani vyuoni tu kwamba kuna TISS agents zaidi ya 1000? It can't be.

Kingine hao TISS wana manufaa gani vyuoni maana nilitegemea wasaidie kuchochea ufaulu, watu kupublish papers, uvumbuzi wa teknolojia n.k ila eti TISS wa bongo kazi yao ni kuchomana tu na umbeya ila hawaongezi tija. Rejea Kipilimba tuliambiwa nj genius wa IT ila alipokua NIDA ndio ilikua taasisi mbovu kuliko zote mpaka unajiuliza hizi sifa mnazowapa mitandaoni hata wao wanashangaa maana hawana uwezo huo.
 
huyo ni afisa kipenyo...huwa wanaingizwa wengi vyuoni kila mwaka...Sio kila unayemuona chuoni ni mwanafunzi.

Kuna maafisa mwaka huu unamkuta UDOM, mwakani anajiunga IFM, mwaka unaofuata unamkuta SAUT, mwaka unaofuata yupo UDSM......hawahitimu hao.

Sasa jichanganye kuibagaza na kuisiribia serikali uone.
Hakuna lolote kwamba kila kozi anakuwepo au inakuaje? Huyo atakua ni informant tu ambao hao ni wengi kuliko waajiriwa wa TISS maana ni cheaper option kuliko kuweka agent kila chuo kila kozi yaani vyuoni tu kwamba kuna TISS agents zaidi ya 1000? It can't be.

Kingine hao TISS wana manufaa gani vyuoni maana nilitegemea wasaidie kuchochea ufaulu, watu kupublish papers, uvumbuzi wa teknolojia n.k ila eti TISS wa bongo kazi yao ni kuchomana tu na umbeya ila hawaongezi tija. Rejea Kipilimba tuliambiwa nj genius wa IT ila alipokua NIDA ndio ilikua taasisi mbovu kuliko zote mpaka unajiuliza hizi sifa mnazowapa mitandaoni hata wao wanashangaa maana hawana uwezo huo.
 
Mhadhiri mmoja wa Chuo Kikuu cha Dodoma (ambaye hajatajwa jina) anadaiwa kukamatwa na polisi muda mfupi baada ya nyumba yake kufanyiwa upekuzi na kufanyiwa mahojiano katika kituo cha polisi kabla ya kuachiwa kwa dhamana.

Mhadhiri huyo anatuhumiwa kujadili maandamano hayo ya D9 siku ya Desemba 8 kuanzia saa 4:30 asubuhi hadi saa 7:30 mchana, ambapo alidawia kuwachochea wanafunzi kushiriki katika maandamano yaliyofanyika Desemba 9.

Inadaiwa kuwa kauli hizo zilirekodiwa kwa siri darasani na mtu aliyedaiwa kuwa mpelelezi, kisha kupelekwa kwa mamlaka za juu zilizotoa agizo la kukamatwa kwake.

Wangelijua kukamata mtu anayetekeleza takwa la kikatiba na kisheria ndiyo uvunjifu wa amani, wasingeliendelea na huo upumbaf wao.

Kukamata mtu kwa tuhuma ambazo hazikutekelezwa ni sawa na kumfuata kwenda kumuua kijana mtaani aliyehisiwa kuandamana.
 
Hakuna lolote kwamba kila kozi anakuwepo au inakuaje? Huyo atakua ni informant tu ambao hao ni wengi kuliko waajiriwa wa TISS maana ni cheaper option kuliko kuweka agent kila chuo kila kozi yaani vyuoni tu kwamba kuna TISS agents zaidi ya 1000? It can't be.

Kingine hao TISS wana manufaa gani vyuoni maana nilitegemea wasaidie kuchochea ufaulu, watu kupublish papers, uvumbuzi wa teknolojia n.k ila eti TISS wa bongo kazi yao ni kuchomana tu na umbeya ila hawaongezi tija. Rejea Kipilimba tuliambiwa nj genius wa IT ila alipokua NIDA ndio ilikua taasisi mbovu kuliko zote mpaka unajiuliza hizi sifa mnazowapa mitandaoni hata wao wanashangaa maana hawana uwezo huo.
Yap kuchomana ndio asili yao, they dont think twice

Kama lecture alikuwa anatolea mfano dec 9 katika moja ya kipindi chake sion shida

Tatizo tunatawaliwa na watu ambao hawataki kuambiwa ukweli na hawataki wazidiwe akili na wengine
 
Mhadhiri mmoja wa Chuo Kikuu cha Dodoma (ambaye hajatajwa jina) anadaiwa kukamatwa na polisi muda mfupi baada ya nyumba yake kufanyiwa upekuzi na kufanyiwa mahojiano katika kituo cha polisi kabla ya kuachiwa kwa dhamana.

Mhadhiri huyo anatuhumiwa kujadili maandamano hayo ya D9 siku ya Desemba 8 kuanzia saa 4:30 asubuhi hadi saa 7:30 mchana, ambapo alidawia kuwachochea wanafunzi kushiriki katika maandamano yaliyofanyika Desemba 9.

Inadaiwa kuwa kauli hizo zilirekodiwa kwa siri darasani na mtu aliyedaiwa kuwa mpelelezi, kisha kupelekwa kwa mamlaka za juu zilizotoa agizo la kukamatwa kwake.

Ndio matatizo ya kuwa na viranja vilaza.
 
Hili litakuwa taifa la wajinga. Lecture room ndio sehemu pekee ambapo wanafunzi wanaweza kujadili jambo kwa mtazamo hasi au chanya kwa uhuru. Wakianza kukamatwa walimu darasani basi tutatengeneza wahalifu wengi nchini. Wakina karl Max waliandika sana revolution sikuona vitabu vyao vinachomwa moto na serikali za ulaya kwa ajili ya uchochezi
Sure wakianza kuchungulia hadi madarasani watadumaza elimu,

Hivi lecturer akitoa swali 'Maandamano ya 9 December yalikuwa ya faida, jadili'. Utamkamata lecturer? na je mwanafunzi akijibu ndiyo yalikuwa na faida utamkamata? Poor my country.
 
Ndiyo ujadili muda wote huo?!..wahadhiri huwa wapinzani wa serikali lakini huwa ni robo saa dk kumi kuiponda serikali kisha lecture huendelea
Kama alihamasisha maandamano kazi anayi
 
huyo ni afisa kipenyo...huwa wanaingizwa wengi vyuoni kila mwaka...Sio kila unayemuona chuoni ni mwanafunzi.

Kuna maafisa mwaka huu unamkuta UDOM, mwakani anajiunga IFM, mwaka unaofuata unamkuta SAUT, mwaka unaofuata yupo UDSM......hawahitimu hao.

Sasa jichanganye kuibagaza na kuisiribia serikali uone.
Dean of students vyuo vya serikali ni maafisa vipenyo wanaosimamia wanafunzi maafisa vipenyo vyuoni,wapo wanafunzi maafisa vipenyo na husoma na kumaliza masomo
 
huyo lecturer naye ni zamwamwa hajui kama TISS wapo kwenye vyuo vikuu vyote hapa nchini....

Kuna agents wao hawahitimu vyuoni miaka nenda miaka rudi..Kila mwaka wanabadili vitivo tu. Jichanganye kupeleka masuala ya siasa kwenye taasisi za serikali na zisizo za kiserikali pia.

Serikali ina mkono mrefu sana.
Vyuoni kuna course ya Polical science utaifundishaje bila kujadili siasa, na siasa inajadiliwa +vely na -vely ziwe za ndani au nje ya nchi yako.
 
Ndiyo ujadili muda wote huo?!..wahadhiri huwa wapinzani wa serikali lakini huwa ni robo saa dk kumi kuiponda serikali kisha lecture huendelea
Kama alihamasisha maandamano kazi anayi
Wewe unaangalia muda, poor you, labda kama umeishia la 7b, Lecturer anaweza kufundisha mada moja hata wiki nzima.
 
Back
Top Bottom