PostGE2025 Mhadhiri wa UDOM akamatwa na Polisi baada ya kurekodiwa akijadili maandamano ya Disemba 9 darasani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
huyo lecturer naye ni zamwamwa hajui kama TISS wapo kwenye vyuo vikuu vyote hapa nchini....

Kuna agents wao hawahitimu vyuoni miaka nenda miaka rudi..Kila mwaka wanabadili vitivo tu. Jichanganye kupeleka masuala ya siasa kwenye taasisi za serikali na zisizo za kiserikali pia.

Serikali ina mkono mrefu sana.
Hakuna hicho kitu. Hata wakati wa Nyerere TISS walikuwepo vyuo vikuu vyote. Waliruhusu mijadala huru.

Nyerere alipingwa na vijana na chuo kikuu.

Walijaribu ku-recruit akili zote kubwa vyuoni. Waliposhindwa hawakuwafanyia mazengwe kama leo ta kuwakamata, kuwateka, kuwapoteza, kuwatesa, kuwatupa magereza.
 
unaleta habari za nyerere katika awamu hizi....una akili timamu?
 
Akili timamu ni nini kwa akili yako?
Nyerere alikuwa na akili timamu kujenga taifa lisilo na dini, ukabila, ukanda wala matabaka.

Akili timamu ni Samia kuwapa nyie machawa kodi zetu zote kwa familia yake kuwatetea, kutuua, kututeka, kututesa na kutupoteza?
 
huyo ni afisa kipenyo...huwa wanaingizwa wengi vyuoni kila mwaka...Sio kila unayemuona chuoni ni mwanafunzi.

Kuna maafisa mwaka huu unamkuta UDOM, mwakani anajiunga IFM, mwaka unaofuata unamkuta SAUT, mwaka unaofuata yupo UDSM......hawahitimu hao.

Sasa jichanganye kuibagaza na kuisiribia serikali uone.

Uvccm Siku hizi ni afisa kipenyo 😂😂😂
 
huyo lecturer naye ni zamwamwa hajui kama TISS wapo kwenye vyuo vikuu vyote hapa nchini....

Kuna agents wao hawahitimu vyuoni miaka nenda miaka rudi..Kila mwaka wanabadili vitivo tu. Jichanganye kupeleka masuala ya siasa kwenye taasisi za serikali na zisizo za kiserikali pia.

Serikali ina mkono mrefu sana.
Dah Remigidius cornel where are you my Nigga ?
 
Back
Top Bottom