PostGE2025 Mhadhiri wa UDOM akamatwa na Polisi baada ya kurekodiwa akijadili maandamano ya Disemba 9 darasani

PostGE2025 Mhadhiri wa UDOM akamatwa na Polisi baada ya kurekodiwa akijadili maandamano ya Disemba 9 darasani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
huyo ni afisa kipenyo...huwa wanaingizwa wengi vyuoni kila mwaka...Sio kila unayemuona chuoni ni mwanafunzi.

Kuna maafisa mwaka huu unamkuta UDOM, mwakani anajiunga IFM, mwaka unaofuata unamkuta SAUT, mwaka unaofuata yupo UDSM......hawahitimu hao.

Sasa jichanganye kuibagaza na kuisiribia serikali uone.
Hakuna lolote kwamba kila kozi anakuwepo au inakuaje? Huyo atakua ni informant tu ambao hao ni wengi kuliko waajiriwa wa TISS maana ni cheaper option kuliko kuweka agent kila chuo kila kozi yaani vyuoni tu kwamba kuna TISS agents zaidi ya 1000? It can't be.

Kingine hao TISS wana manufaa gani vyuoni maana nilitegemea wasaidie kuchochea ufaulu, watu kupublish papers, uvumbuzi wa teknolojia n.k ila eti TISS wa bongo kazi yao ni kuchomana tu na umbeya ila hawaongezi tija. Rejea Kipilimba tuliambiwa nj genius wa IT ila alipokua NIDA ndio ilikua taasisi mbovu kuliko zote mpaka unajiuliza hizi sifa mnazowapa mitandaoni hata wao wanashangaa maana hawana uwezo huo.
 
Wale Wanachuo wa zamani wenye hoja za maana na waliokuwa wanapinga hadharani Madhaifu ya Serikali Hawapo TENA

Hata katika level ya Sekondari, wamebaki Machawa tu waliojaa Woga na Ujinga.
Baada ya magufuli kuazisha teuzi za upendeleo
 
Hakuna lolote kwamba kila kozi anakuwepo au inakuaje? Huyo atakua ni informant tu ambao hao ni wengi kuliko waajiriwa wa TISS maana ni cheaper option kuliko kuweka agent kila chuo kila kozi yaani vyuoni tu kwamba kuna TISS agents zaidi ya 1000? It can't be.

Kingine hao TISS wana manufaa gani vyuoni maana nilitegemea wasaidie kuchochea ufaulu, watu kupublish papers, uvumbuzi wa teknolojia n.k ila eti TISS wa bongo kazi yao ni kuchomana tu na umbeya ila hawaongezi tija. Rejea Kipilimba tuliambiwa nj genius wa IT ila alipokua NIDA ndio ilikua taasisi mbovu kuliko zote mpaka unajiuliza hizi sifa mnazowapa mitandaoni hata wao wanashangaa maana hawana uwezo huo.
Kuwepo informer au tiss agent sio issue, issue ni kwann lecturer akamatwe Je kama topic yake ilikuwa inahusu good governance na mfano wa karibu ni huo wa maandamano angeacha kuutoa kwa kuogopa kukamatwa? Nini maana ya kufundisha sasa.
 
Ndio tunapoelekea, itabidi hadi nadharia za uchumi, sheria, au uongozi "zigeuzwe" ili zisije onekana ni uchochezi. Tunaua mpaka elimu kisa kulinda cheo cha mtu mmoja
 
uzuri atakuwa shahidi pia au atafichwa kabatini na lisu kashakabia juu dhidi ya mashahidi wa kwenye mabox
 
huyo ni afisa kipenyo...huwa wanaingizwa wengi vyuoni kila mwaka...Sio kila unayemuona chuoni ni mwanafunzi.

Kuna maafisa mwaka huu unamkuta UDOM, mwakani anajiunga IFM, mwaka unaofuata unamkuta SAUT, mwaka unaofuata yupo UDSM......hawahitimu hao.

Sasa jichanganye kuibagaza na kuisiribia serikali uone.
Unadhani wahadhiri hawajui hili kama wewe unalijua? Ishu ni academic freedom kuwa encroached. Always academic space has remained relatively free of censorship, when you do that you're doomed as a nation
 
Hii ngoma ni nzito kwako huiwezi wewe tukutane kwenye siasa za majitaka kuwa mkitoka tutawapiga risasi huko unaweza lkn si masuala ya elimu huna.
2003 nilinunua form form ya udsm Ili kujiunga baada ya kupata div 1 pt 6 ya EGM A level
 
Mhadhiri mmoja wa Chuo Kikuu cha Dodoma (ambaye hajatajwa jina) anadaiwa kukamatwa na polisi muda mfupi baada ya nyumba yake kufanyiwa upekuzi na kufanyiwa mahojiano katika kituo cha polisi kabla ya kuachiwa kwa dhamana.

Mhadhiri huyo anatuhumiwa kujadili maandamano hayo ya D9 siku ya Desemba 8 kuanzia saa 4:30 asubuhi hadi saa 7:30 mchana, ambapo alidawia kuwachochea wanafunzi kushiriki katika maandamano yaliyofanyika Desemba 9.

Inadaiwa kuwa kauli hizo zilirekodiwa kwa siri darasani na mtu aliyedaiwa kuwa mpelelezi, kisha kupelekwa kwa mamlaka za juu zilizotoa agizo la kukamatwa kwake.

Kwa hiyo sasa hivi uhuru wa Taaluma vyuoni hakuna?

Cha ajabu huwa uvccm wanaonekana wakifanya makongamano yao vyuoni.

Hiko chama kimegeuka kuwa janga la taifa
 
Ni mwendo wa Vitisho - Nadhani hawa wadau wa sasa ni subscribers wa Heinrich Himmler.
  • "The best political weapon is the weapon of terror. Cruelty commands respect. Men may hate us. But, we don't ask for their love; only for their fear."
 
1989 nilikuwa UDSM mwaka wa kwanza. 2003 nilikuwa lecturer CBE.

Ndio maana nimekwambia huu mzigo ni mzito kwako turudi kwenye siasataka zako unazozipenda.
Kwamba elimu ilikuwepo 1989 udsm na haikuwepo 2003?!..mbona huakisi fikra iliyoelimika!?.. halafu toka 2003 hadi leo nitakua na elimu gani ikiwa niliamua kusaka elimu bila kuchoka?
 
Back
Top Bottom