PostGE2025 Mhadhiri wa UDOM akamatwa na Polisi baada ya kurekodiwa akijadili maandamano ya Disemba 9 darasani

PostGE2025 Mhadhiri wa UDOM akamatwa na Polisi baada ya kurekodiwa akijadili maandamano ya Disemba 9 darasani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
FIRST THEY CAME
By Martin Niemöller
First they came for the Communists
And I did not speak out
Because I was not a Communist
Then they came for the Socialists
And I did not speak out
Because I was not a Socialist
Then they came for the trade unionists
And I did not speak out
Because I was not a trade unionist
Then they came for the Jews
And I did not speak out
Because I was not a Jew
Then they came for me
And there was no one left
To speak out for me.
 
Mhadhiri mmoja wa Chuo Kikuu cha Dodoma (ambaye hajatajwa jina) anadaiwa kukamatwa na polisi muda mfupi baada ya nyumba yake kufanyiwa upekuzi na kufanyiwa mahojiano katika kituo cha polisi kabla ya kuachiwa kwa dhamana.

Mhadhiri huyo anatuhumiwa kujadili maandamano hayo ya D9 siku ya Desemba 8 kuanzia saa 4:30 asubuhi hadi saa 7:30 mchana, ambapo alidawia kuwachochea wanafunzi kushiriki katika maandamano yaliyofanyika Desemba 9.

Inadaiwa kuwa kauli hizo zilirekodiwa kwa siri darasani na mtu aliyedaiwa kuwa mpelelezi, kisha kupelekwa kwa mamlaka za juu zilizotoa agizo la kukamatwa kwake.


Hata Socrates alihukumiwa kwa kuwachochea vijana.

Muhadhiri yuko kwenye company nzuri na Socrates.
 
Hiyo mnamjua ma offionado wa sasa.

Mimi nilikuwa namuangalia Dusty Rhodes na Hulk Hogan enzi za TVZ huko kabla hata ITV haijaanzishwa na baadaye kidogo CTN.
Dusty nili mkuta na lile li nguo lake, stunts za kula funza.

Una Kumbuka ile mechi ali pewa vs randy Orton, enzi hizo triple h ni manager?
 
Nimekujibu kama ulivyokuja, kwa akili yako unadhani mimi nimeganda, poor.
Bado ujenzi wako wa hoja unaakisi ukosefu wa elimu au kusoma lakini kutoelimika,uli-diss sina elimu, nikakwambia niliomba kujiunga udsm 2003 baada ya kutwanga one ya EGM,so madai yako shule sikwenda si kweli,zaidi zaidi umeanika ulivyo kilaza maana hata kupata mantiki kwenye statement huwezi
 
Ndio mjue tuna Raisi shetani , kila apambane kwa uwezo wake kuliondoa hili shetani
 
huyo ni afisa kipenyo...huwa wanaingizwa wengi vyuoni kila mwaka...Sio kila unayemuona chuoni ni mwanafunzi.

Kuna maafisa mwaka huu unamkuta UDOM, mwakani anajiunga IFM, mwaka unaofuata unamkuta SAUT, mwaka unaofuata yupo UDSM......hawahitimu hao.

Sasa jichanganye kuibagaza na kuisiribia serikali uone.
TISS ya taifa letu ni ya ajabu sana, badala wafanya ujasusi wa kiuchumi, washughulike na ujasusi wa kibiashara, teknolojia, ufugaji nk wao kazi yao ni kufuatilia nani akaisema vibaya CCM!!!!!!!
 
Back
Top Bottom