chadema masalia wanapenda kutunga porojo za kijingajinga sana,Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limetoa taarifa kwa umma likikanusha madai yanayosambazwa mitandaoni kuhusu kukamatwa kwa Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kati.
Katika taarifa hiyo, polisi wamesema hakuna kiongozi wa chama hicho aliyekamatwa na kwamba taarifa zinazosambazwa ni za uongo na zinapotosha umma. Polisi wameeleza kuwa wako kazini kuendelea kulinda usalama na amani, na wamewataka wananchi kupuuza taarifa zisizo rasmi.
View attachment 3518755
Polisi wanadhani uongo wao wa kila siku haujazoeleka mpaka leo hii? Mbona hawatupi maelezo ya Mdude alipo, aliyemuua Mzee Kibao, walipo au ilipo miili ya Gen Z waliopotea Oct’29th na utaratibu na order ya kuua ilivyotolewa mpaka vijana wetu wakauawa kama panya.Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limetoa taarifa kwa umma likikanusha madai yanayosambazwa mitandaoni kuhusu kukamatwa kwa Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kati.
Katika taarifa hiyo, polisi wamesema hakuna kiongozi wa chama hicho aliyekamatwa na kwamba taarifa zinazosambazwa ni za uongo na zinapotosha umma. Polisi wameeleza kuwa wako kazini kuendelea kulinda usalama na amani, na wamewataka wananchi kupuuza taarifa zisizo rasmi.
View attachment 3518755
Sio barani Africa, ni dunia nzima.Hili jeshi ndio linaloongoza kwa uongo Barani Africa