Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Soma Pia: Mwanamuziki wa Bongo fleva Mandojo afariki Dunia
Akiongea kwa niaba ya Kamanda wa Jeshi la Polis Mkoa wa Dodoma Kamishna msaidizi mwandamizi SACP Anania Amo leo Agosti 13,2024 jijini Dodoma, amesema kuwa jeshi la polisi linaendelea kumuhoji Mlinzi huyo kuhusiana na Tukio hilo huku mwili wa marehemu ukiwa umehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti kwaajili ya chunguzi na madaktari ili kubaini chanzo cha kifo chake.