Polisi Dodoma yamshikilia Mlinzi wa Kanisa kwa tuhuma za mauaji ya msanii Man Dojo

Polisi Dodoma yamshikilia Mlinzi wa Kanisa kwa tuhuma za mauaji ya msanii Man Dojo

Kwa vyovyote vile wasanii wenye umri wowote na vijana kwa ujumla acheni madawa ya kulevya ya aina zote na pombe za kupitiliza. Pia acheni tamaa ya kutaka kupata chochote kitu kirahisi. Matokeo ndiyo hayo ubaoni.
 
Mlinzi ana stress za kulipwa mshahara usiokidhi nahitaji yakee ,stress zake akaona amwangushie msanii wetuu aiseeee..

Km kahusika kwel asiachwe salama..
Watanazania wanaopenda kuua watu wenye tuhuma za wizi ni wengi sana. Na hawaambiliki lolote. ni wabishi na lolote utakalowaambia wanasema hujawahi kuibiwa. Hii ni tabia ya kinyama mno na inabidi likomeshwe kwa vifungo vya muda mrefu.
 
Mti mwema utayaona matunda yake.

Unapanda mbegu za mbigili unataka uvune zabibu?
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia mtu mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Raphael Ndamahnwa ambaye ni mlinzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Watakatifu wote lililopo Nzuguni B kwa ajili ya mahoniano, kufuatia kifo cha msanii wa muziki wa kizazi kipya Joseph Francis maarufu Mandojo kilochotokea Agosti 11, 2024.

Akizungumza na waandishi wa habari kwa niaba ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi Anania Amo amesema Jeshi la Polisi linaendelea kumuhoji mlinzi huyo kuhusiana na tukio hilo huku mwili wa marehemu ukiwa umehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti kwa ajili ya chunguzi ili kubaini chanzo cha kifo chake.
View attachment 3068647
Hayo macho , mhh
 
Yaani huyo mlinzi alivyokuwa mjinga ameshindwa hata kutengeneza mazingira ya wizi.kuwa walimkuta na kitu cha kanisani. Mnamuitia mtu mwizi alafu hamjamkuta na kitu cha wizi hyo ni hatari.mkamateni mumuhoji
 
Yaani huyo mlinzi alivyokuwa mjinga ameshundwa hata kutengeneza mazingira ya wizi.kuwa walimkuta na kitu cha kanisani. Mnamuitia mtu mwizi alafu hamjamkuta na kitu cha wizi hyo ni hatari.mkamateni mumuhoji
Damu ya mtu hayo yote utayakumbuka muda umeenda ule muda unaingia kifungoni.

Tuishi kwa kutenda haki binadamu tunajisahau sana tukiwa kwenye vitengo vyetu.
 
Inafikirisha sana tunapoambiwa jamaa aliaga nyumbani kwamba anakwenda kanisani kutubu kuhusu ulevi wake halafu baadae mkewe amtafute bila kujua alikwenda kutubu kwenye kanisa lipi. Halafu mtu uliyekwenda kutubu ndiyo ujifiche kwenye banda la mbwa?
Eti aliaga kwa mkewe kuwa anaenda kanisani

Sasa sijui alifikaje kwenye Banda la mbw
 
Back
Top Bottom