Polisi: Faini milioni 5 mpaka 20 ukibainika kupekua simu ya mwenza wako

Ndoa inazidi kupigwa vita bila kujuwa.sheria kama hii inakaribisha usaliti ndani ya ndoa.
Sheria hii haijalishi kama wewe ni mke au mume. Inaongelea kw ujumla kulinda taarifa za mtu binafsi. Sasa ukipekua simu ya mtu yeyote bila ridhaa yake ni kosa. Au ukiingilia mawasiliano ya mtu ni kosa pia.
 
Labda kachanganyq pia na personal data protection act.
 
Ndoa zimeanza kusalitiwa zamani sn. Ila hizi simu sasa ndio zinofichua huo usaliti
We watu wamekulana sn zama hizo, wanaume kutoka na mke wa jirani au wa rafiki yake ngozi ilikuwa kawaida tu. Vitanda vingi vimezaa haramu na watu wanajua na wakalea
Tatizo hizi simu sasa. Miadi yote na mambo mengineyo yanapangwa kwenye simu. Zama hizo kulikuwa kuna makuwadi.
Bora hii sheria itekelezwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…