Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Title isomeke "Fahamu taratibu za Mazishi za Majambazi yanayovaa Uniforms"
Majambazi yameuwanaKwani yule poti kajiua au kauliwa na mipolice mienzake
ASANTE KWA TAARIFA
Ushahidi unao?Kwani yule poti kajiua au kauliwa na mipolice mienzake
Je taratibu za aliyeuliwa na wenzake anazikwaje?
Still hana sifaKwani yule poti kajiua au kauliwa na mipolice mienzake
Ushahidi wa mapoti wenzake kumpiga roba amaUshahidi unao?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah nacheka kama mazuri vilenimejaribu kuashika tambara la deki nikalivuta kidogo tu likachanika,nikapata wazo watakua wanatumia madekio ya manila
nikapata wazo watakua wanatumia madekio ya manila[emoji23]nimejaribu kuashika tambara la deki nikalivuta kidogo tu likachanika,nikapata wazo watakua wanatumia madekio ya manila
Nani wa kuthibitisha kama polisi kajiua? Ni hawa polisi wetu au wengine?