Polisi: Gari la kituo cha Gogoni halihusiki na utekaji wa Abdul Nondo

Hatimaye kijana Nondo kapatikana muda huu,akiwa ametupwa nje ya Makao Makuu ya Ofisi za ACT.

Taarifa za awali zinasema yupo Mahututi hajiwezi kwa lolote ,hata kuongea ni shida

Source
Boniphace Jacob
Ex mayor.
 
Hatimaye kijana Nondo kapatikana muda huu,akiwa ametupwa nje ya Makao Makuu ya Ofisi za ACT.

Taarifa za awali zinasema yupo Mahututi hajiwezi kwa lolote ,hata kuongea ni shida

Source
Boniphace Jacob
Ex mayor.
Aloo
 
IGP: Tunaomba utuambie, Land Cruiser nyeupe yenye namba za usajili T 249 EMV,ni mali ya nani, liko wapi muda huu,na mmechukua hatua Gani kulijua hili gari!
Hilo Land cruiser ni la Serikali lipo kituo cha Gogoni Jana lilitolewa Plate number zikawekwa plate number za gari ya IST ambayo ipo garage moja bubu somewhere na ngao yake ikatolewa ilipoenda kupiga tukio na limeoshwa leo baada ya kupiga tukio Jana kumkamata/kumteka Bwana Abdul Nondo

Swali jingine
 
Ukiona inakanushwa haraka jua ndo ukweli, ukiona kitu kinapuuzwa hamna tamko ndo uongo

Kazi kwenu kujua ukweli na UONGO
 
Haya maelezo sasa😀
 
Hivi inakuwaje nchi ina Rais na raia wema wanachukuliwa kana swala na watu wasio julikana, Rais anapiga kimya, haongei kuhusu utekaji huo?
Jamani, mbona alishasema hizi ni drama, unataka aongee nini tena, hata ile ya kibao ni drama tu..
 
Kazi ipo
 
Tumejulishwa kuwa Mwenyekiti wa Vijana Taifa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo amefichwa kituo cha polisi Gogoni, Kibamba Dar es Salaam.

Tumefika Kituoni, ingawa Polisi wamekataa, tumekuta Landcruiser iliyotumika kumteka Nondo ikiwa inabadilishwa number plates. (kutoka zile za IST zilizotangazwa na Msemaji wa polisi na kuwekwa zingine).Zitto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…