Polisi Hawaaminiki. Wamwibia Juha Msaada wake Kutoka kwa mungu!

Polisi Hawaaminiki. Wamwibia Juha Msaada wake Kutoka kwa mungu!

English Learner

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
368
Reaction score
471
Juha alikuwa anahitaji pesa akaamua kumuomba mungu kwa njia yake mwenyewe akaandika kwenye karatasi (ewe m mungu mimi nahitaji pesa elfu 50) ikisha akaifunga karatsi kwenye bofu akaiwacha iruke ikawa anafanya hivyo kila siku kumbe yale mabofu huwa yanaanguka kituo cha polisi kila siku. Hata wale polisi wakahisi imani wakaamuwa wamchangie elfu 25 wamgaie. Wakachangishana, wakenda wakampelekea; wakamwambia hizi elfu 25 umepewa na mungu wako. Siku ya pili Juha akaandika tena kikaratasi akafanya kama kawaida. Kikaratasi kikaanguka kituo cha polisi kikiwa kimeandikwa “Shukran mungu wangu kwa pesa lakini mapolisi washenzi wamenipa nusu tu na nusu wameziiba wao”

Somo:

Kulingana na yanayoendelea yakihusisha Jeshi la Polisi hapa nchini, umejifunza nini?
 
Kwa harakaharaka unamaanisha polisi ni watu wema raia ndio majuha!!!
 
Hii alert kila ikiwekwa Jukwaani inang'olewa. I'm worried whether JF is still a free platform were people talk openly but responsibly?! Nowdays JF Mods have turned to be filters of members' thinking-something which intimidate our long time spirit and respect.

The alert below should be taken seriously with our intelligence organs. Posting it here is a mere way of finding to deliver the alert to responsible units. Could they have verified accounts existing on other poerful social media that would be fabulous. It would have given our security system an opportunity to collect and receive real time intel
564007_10151872727638069_1875010691_n.jpg

​
 
Juha alikuwa anahitaji pesa akaamua kumuomba mungu kwa njia yake mwenyewe akaandika kwenye karatasi (ewe m mungu mimi nahitaji pesa elfu 50) ikisha akaifunga karatsi kwenye bofu akaiwacha iruke ikawa anafanya hivyo kila siku kumbe yale mabofu huwa yanaanguka kituo cha polisi kila siku. Hata wale polisi wakahisi imani wakaamuwa wamchangie elfu 25 wamgaie. Wakachangishana, wakenda wakampelekea; wakamwambia hizi elfu 25 umepewa na mungu wako.
Bofu ndo nini?
 
Back
Top Bottom