English Learner
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 368
- 471
Bofu ndo nini?Juha alikuwa anahitaji pesa akaamua kumuomba mungu kwa njia yake mwenyewe akaandika kwenye karatasi (ewe m mungu mimi nahitaji pesa elfu 50) ikisha akaifunga karatsi kwenye bofu akaiwacha iruke ikawa anafanya hivyo kila siku kumbe yale mabofu huwa yanaanguka kituo cha polisi kila siku. Hata wale polisi wakahisi imani wakaamuwa wamchangie elfu 25 wamgaie. Wakachangishana, wakenda wakampelekea; wakamwambia hizi elfu 25 umepewa na mungu wako.