Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,626
- 4,327
Sina tabia ya kupumulia watu visogoni, hasira zenu za vyeti feki na kuzuiliwa mafuta yenu pendwa pendwa ziishie kwa Ummy ndugu wali, usijipendekeze kwangu situmii hiyo bidhaa.Duh ni kweli unamapenzi makali kiasi hicho kwa huyo mkuu wa nchi?
Sorry wewe ni Ke au Me?
Mapenzi yako sio salama kwa mke wake you know! Please control your emotions on him utaharibu ndio ya watu
Hata mimi naona jamaa sio comedian lakini kama kuna watu anawachekesha. Mimi ni nani hadi nianze kumuamlia ni nini afanye na maisha yake much less weweHuyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kisingizio cha kuigiza
Kuigiza kwenywe hajui
Akawafanyie comedy wazazi wake
Sio kosa lako, tatizo ni shule kiasi kwamba hujui hata maana ya kusujudu, kusujudu ni kupiga magoti na kuinamisha kichwa mpaka paji la uso liguse ardhi, anayesujudiwa ni Mungu pekee kama ilivyo katika zile 10 commandments kwenye kitabu cha Musa cha kutoka (Exodus).Hahahaha ungeweza kumsujudia muumba wa mbingu na nchi kama hivi hakika ungekuwa kiumbe makini sana sio mkamilifu hapana maana ukamilifu ni wa Mungu tu ajabu ni kwamba huyo mwanadamu unaemsujudia nae anampigia goti Mungu na ana makandokando telea anaomba msamaha kwa Muumba.
Hahahah sasa nani hapo hana shule soma post mwanzo kabisa inajielezaSio kosa lako, tatizo ni shule kiasi kwamba hujui hata maana ya kusujudu, kusujudu ni kupiga magoti na kuinamisha kichwa mpaka paji la uso liguse ardhi, anayesujudiwa ni Mungu pekee kama ilivyo katika zile 10 commandments kwenye kitabu cha Musa cha kutoka (Exodus).
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa unaona fahari sana kusifia na kuchochea uhaini eti kwa sababu tu unatumika na puppets wa neocolonialism? Pathetic...mie ni mwanamapinduzi halisi.Huwaga hamuoni aibu hata mara moja kusupport ujinga?
Huwa mnajiona mpo safe sana kwa kuwa ni wapiga zumari wa CCM ?
I'll be back
Baada ya hapo ndiyo mtakuwa mmefika uchumi wa kati?
Maandiko yanasema ficha upumbavu wako usiifiche hekima yako, sijawahi na wala haitokaa itokee nikasujudia mwanadamu, ni kwa sababu ya shule hivyo hujui maana ya kusujudu.Hahahah sasa nani hapo hana shule soma post mwanzo kabisa inajieleza
Sasa kama unamuogopa mwanadamu mwenzio wewe si mpumbavu? Una shule gani sasa inayokusadia wakat unampepelea binadamu kama Mungu halafu wewe kichwani hamna kitu kuna post huko unaulizwa hili una jibu lile yaaani tofauti kabisa unapaniki nini wewe mlamba miguu ya mwanadamu?Maandiko yanasema ficha upumbavu wako usiifiche hekima yako, sijawahi na wala haitokaa itokee nikasujudia mwanadamu, ni kwa sababu ya shule hivyo hujui maana ya kusujudu.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha! BIA YETUHuyo kijana hajitambui
Comedy zenyewe hawezi anajichekesha km mitoto ya mombasa
Ashughilikiwe tu
Definitely, hakuna maendeleo pasipo na political stability, katika Taifa ambalo watu wanapambana usiku na mchana mambo yaende then akatokea mwendawazimu mmoja tu kwa maslahi yake binafsi atumiwe kuleta instability lazima ashughulikiwe, tulieni mtayajua mengi na hizo mi parody yenu ya tweeter.Baada ya hapo ndiyo mtakuwa mmefika uchumi wa kati?
Eti mwanamapinduzi. ? Do you even know mapinduzi?Ofkozi... very useless kwa viazi na useless people kwa community kama wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpumbavu wewe Mungu hapepelewi, maandiko yanatushurutisha kuzitii mamlaka maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu, kama kutii ni kuogopa acha iwe hivyo ili nitimize agizo la Mungu.Sasa kama unamuogopa mwanadamu mwenzio wewe si mpumbavu? Una shule gani sasa inayokusadia wakat unampepelea binadamu kama Mungu halafu wewe kichwani hamna kitu kuna post huko unaulizwa hili una jibu lile yaaani tofauti kabisa unapaniki nini wewe mlamba miguu ya mwanadamu?
Kijana ndoto zake zinapotezwa hivi hivi. Haki itendeke huenda yote aliyotuhumiwa kusiwe na kosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Dare me uone...hahahaEti mwanamapinduzi. ? Do you even know mapinduzi?
Kuna mwanampinduzi ndezi kiasi chako?
Wewe ni mpiga zumari tu.
I'll be back
Duh..kweli wewe bwabwa, mkuu kakuambia hatumii hiyo bidhaa bado unamtaka tu, hatari na nusu.Eti mwanamapinduzi. ? Do you even know mapinduzi?
Kuna mwanampinduzi ndezi kiasi chako?
Wewe ni mpiga zumari tu.
I'll be back
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] jamaa vilaza kweli hawa.Mpumbavu wewe Mungu hapepelewi, maandiko yanatushurutisha kuzitii mamlaka maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu, kama kutii ni kuogopa acha iwe hivyo ili nitimize agizo la Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app