Uchaguzi 2020 Polisi iepuke kabisa kuwa Polisi ya USA dhidi George Floyd!

Tila-lila2

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
652
Reaction score
1,058
USA ubaguzi wa rangi na matendo ya kinyanyasaji yalizidi sana. Mpaka leo bado kuna Miji inatangaza maandamano. Nimeona waandamanaji wanaokuwa tayari kugongwa hata na magari ili wafe kwa ajili ya uchungu wa manyanyaso hadi kifo ya mpendwa wao George Floyd.

CCM yangu inaingia kwenye Uchaguzi Mwaka huu wakati kuna malalamiko kuntu ya kutegemea Mapolisi hao hao makatili km wa USA na pia malalamiko yapo wazi kuwa Tume ya Uchaguzi sio huru.

Kwa sasa hata mtoto wa darasa la nne mwenye akili nzuri kishaelewa dhana inayohusu Tume Huru ya Uchaguzi. Naishauri CCM isiwe reactive - yaani kuweka Tume Huru ya Uchaguzi baada ya kulazimishwa na nguvu ya Umma. Ni bora wachukue hatua mapema - Mwaka 2020 Uchaguzi wake unaweza ukawa sio!

Najua CHADEMA wakimleta TUNDU LISSU - huyo bwana hana cha kupoteza risasi anazijua na lupango kwake ni kama choo cha Ikulu tu. CCM tuombe CHADEMA wasinziei wasilete Mwanaharakati - ikitokea akawa Mwanaharakati mtakuja nikumbuka!
 
Polisi watalinda amani Mkuu

Ila acha kusema lissu hana cha kupoteza anafamilia inamtegemea Mkuu

Acheni kumtumia lissu na yeye ana moyo
We mirisasi ile unadhani anajali tena yule! Yaani hapo anajiamini kabisa kwamba Mungu yupo upande wake - this time hata alipuliwe bomu la tani kadhaa atasave tu!
 
Wenzenu geshi la polisi hawajalamba posho wako hoi.Jf wananiblock kuweka proof beyond doubt.
 
Mi naona kama unaongea ongea tu baada kutokua na cha kufanya..kila mTanzania mwenye akili anajua Rais wa nchi hii anafanya nini hapa nchini..na nje ya mipaka pia wanajua,maneno ya hivi yamkini yasubili mgombea mwingine lakini si JPM,kila mwenye akili atamshangaa yule atakaye ingia kupingana na JPM eti akitaka kwenda Ikulu
 
Kwa nini kafanya nini ambacho wewe na mimi na wengine hatuwezi kuja kuvifanya tukipewa nchi? Sana yeye kahamishia wanyawa alipozaliwa na kisha anapotezea kwa kuwagawa tausi eti kwa MaRais waliomtangulia!
 
Usikatishe tamaa watu!
 
Usikatishe tamaa watu!
Acha ku laghai watu upuuzi. Wewe ni kati ya watu wa aina tatu hapa nchini, ulitumbuliwa au kuminywa mianya yenu ya wizi wa pesaza wananchi, au wewe ni wa vyeti feki au ni mwanasiasa mwenye uchu wa Ikulu na wizara kwa ajili ya kuchumia tumbo..wananchi tunaona wazi Rais na Seeikali hii kwa ujumla nini wanafanya juu yetu. kaeni kimya

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Polisi watalinda amani Mkuu

Ila acha kusema lissu hana cha kupoteza anafamilia inamtegemea Mkuu

Acheni kumtumia lissu na yeye ana moyo
Tulia wewe bia,kidume Lisu anakuja kumwaga Pombe ndani ya baa,na hapo ndipo utakuwa mwisho wa kununuliwa bia na ccm
 
INawezekana hayo yote uliyonituhumu nayo ni sawa tu. Lakini kama unafanya kazi basi wewe ndiye unayenufaika kwa kupitia watu wake kama akina Doto James yule Katibu Mkuu Wizara ya Fedha au utakuwa unamwita Mkwe Mkulu. Nepotism imeshika hatamu!
 
Sijui unaongea nini,au umeamka na ukichaa? Mi ni mwananchi wa kawaida nisiye tegemea hayo zaidi ya jasho langu,lakini naelewa wazi Serikali yetu kwa sasa inatenda vyema...wewe ni kati ya makundi matatu hapo juu niliyo yasema. Ngoja mkome wapuuzi nyie mlitufanyia ukora sana
INawezekana hayo yote uliyonituhumu nayo ni sawa tu. Lakini kama unafanya kazi basi wewe ndiye unayenufaika kwa kupitia watu wake kama akina Doto James yule Katibu Mkuu Wizara ya Fedha au utakuwa unamwita Mkwe Mkulu. Nepotism imeshika hatamu!
 
Mwananchi wa Kawaida kutoka Rubondo!
 
KURA YANGU KWA TUNDULISU NIMESHAJIANDIKISHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…