Tila-lila2
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 652
- 1,058
USA ubaguzi wa rangi na matendo ya kinyanyasaji yalizidi sana. Mpaka leo bado kuna Miji inatangaza maandamano. Nimeona waandamanaji wanaokuwa tayari kugongwa hata na magari ili wafe kwa ajili ya uchungu wa manyanyaso hadi kifo ya mpendwa wao George Floyd.
CCM yangu inaingia kwenye Uchaguzi Mwaka huu wakati kuna malalamiko kuntu ya kutegemea Mapolisi hao hao makatili km wa USA na pia malalamiko yapo wazi kuwa Tume ya Uchaguzi sio huru.
Kwa sasa hata mtoto wa darasa la nne mwenye akili nzuri kishaelewa dhana inayohusu Tume Huru ya Uchaguzi. Naishauri CCM isiwe reactive - yaani kuweka Tume Huru ya Uchaguzi baada ya kulazimishwa na nguvu ya Umma. Ni bora wachukue hatua mapema - Mwaka 2020 Uchaguzi wake unaweza ukawa sio!
Najua CHADEMA wakimleta TUNDU LISSU - huyo bwana hana cha kupoteza risasi anazijua na lupango kwake ni kama choo cha Ikulu tu. CCM tuombe CHADEMA wasinziei wasilete Mwanaharakati - ikitokea akawa Mwanaharakati mtakuja nikumbuka!