Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
Mara nyingi ni hawa vijana pesa nyingi elimu duni. Nilishaandika kuwahusu humu JFUnakuta mtu fog light anafunga taa za busta, beam light anafunga busta, full light anapiga busta pia. Halafu pale mbele katikati ya vent ya gari anaweka taa nyingine. Sasa unajiuliza huyu anaweka hizi taa ili iweje.
Hili ndio jibu sahihi kabisa au ndio sababu kuu inayopelekea hao watu kufanya hivyo kwenye Gari zao.Watu masikini na wasio na elimu ndio huwa malimbukeni,huwezi mkuta tajiri au mtu anayejielewa anafunga gari lake hayo mataa.
Mkuu ukiwa barabarani unaendesha gari lako usiku umewahi kupigwa taa ya mwanga mweupe ile "tatatata...tatatata" na hao wajinga? Hata sijui wanajionaje na hizo taa zao !!Hawana kazi hao matracco kabisa
Kuhusu taa sikatai napinga huo ujuaji wa polimbogamboga namana ndo wamejua leoMkuu ukiwa barabarani unaendesha gari lako usiku umewahi kupigwa taa ya mwanga mweupe ile "tatatata...tatatata" na hao wajinga? Hata sijui wanajionaje na hizo taa zao !!
Samahani kama na wewe umefunga hizo taa.
Ujinga tu,hata wenyewe polisi wamefunga kwenye magari yao.Kuhusu taa sikatai napinga huo ujuaji wa polimbogamboga namana ndo wamejua leo
Ndo hapo sasa ni hovyo tuUjinga tu,hata wenyewe polisi wamefunga kwenye magari yao.
Wawe wanajua kuendesha sasa magari usiku..unapigwa full hajui hata kupunguza..Nilianza kutembea na Mawe..Unakuta mtu fog light anafunga taa za busta, beam light anafunga busta, full light anapiga busta pia. Halafu pale mbele katikati ya vent ya gari anaweka taa nyingine. Sasa unajiuliza huyu anaweka hizi taa ili iweje.
Hahahaha! Hata Polisi 🤣 🤣 🤣Ujinga tu,hata wenyewe polisi wamefunga kwenye magari yao.