Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
- Thread starter
- #21
Kama mimi huwa nasimama I say, maana unaweza kukuta uko korongoni. Hasa kwenye njia za kwenda mikoani. Na kama kuna tractor bovu au lori limeharibika mbele yako na umepigwa taa usoni ujue ndio umeshakufa kwa mzinga, maana huoni kabisa! Unapishana na gari imekupiga taa hujui mbele yako kuna nini!Mkuu ukiwa barabarani unaendesha gari lako usiku umewahi kupigwa taa ya mwanga mweupe ile "tatatata...tatatata" na hao wajinga? Hata sijui wanajionaje na hizo taa zao !!
Samahani kama na wewe umefunga hizo taa.