Polisi Iringa: Tunachunguza taarifa za ASAS kumuua Dereva wa Lori

Polisi Iringa: Tunachunguza taarifa za ASAS kumuua Dereva wa Lori

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1709407092729.png
1709407110603.png
 
Mjitahidi kusoma basi daaah.
Postmortem haijafanyika ila wameshaanza ku indicate alikua na ugonjwa wa moyo. Yani mwili haujafanyiwa uchunguzi lakin tumeshajua majibu tutakayopewa
Postmortem haijafanyika ila wameshaanza ku indicate alikua na ugonjwa wa moyo. Yani mwili haujafanyiwa uchunguzi lakin tumeshajua majibu tutakayopewa
 
ASAS kaanza kuajiri madereva nje ya wakazi na wenyeji wa Iringa ? Kuna Mahali nilisoma kuwa ASAS anatoa ajira kwa wazawa tu wa pale kwani madereva wako wengi kama mchango kwa jamii kusaidia jamii

Natafuta hilo andiko nitapost
 
Nimesoma kichwa na habari kwenye hiyo barua nikajua tayari picha la kihindi limeanza..teh🤣

Eti wametoa taarifa kwenye mitandao...🙄

Yaani kamanda wa mkoa na intelijensia yote anayo miliki anakuja kuuaminisha uma kwamba ametoa taarifa kwenye mitandao, wakati yeye na jopo lake wapi Iringa...🤔

Na kwajinsi wanavyo kataaga kwamba wao kama jeshi hawatumii taarifa za kwenye mitandao kama vyanzo vya habari mbona wanasemaga..😐
 
Postmortem haijafanyika ila wameshaanza ku indicate alikua na ugonjwa wa moyo. Yani mwili haujafanyiwa uchunguzi lakin tumeshajua majibu tutakayopewa

Hakuna kiongozi wakumgusa ASAS Iringa, wote wanalamba maziwa na yogurt.
 
Ukinusa vizuri hii taarifa unaona kabisa kuna nguvu ya ziada inatumika kuwasafisha Asas, na hapo ndo unaona ukweli wa taarifa zinazohusu dereva "aliyeuawa".
 
Kesi imesikilizwa siku moja na mtuhumiwa kutiwa hatiani kisha kufungwa siku hiyo hiyo...

Serikali iajiri watu wanaoujua uongo kisawa sawa maana hapa kamanda keshatia nazi kwenye supu.

Halafu wanaishia kutoa onyo kwa wanaosambaza taarifa za uzushi.🤣🤣

Kuna kitu hakipo sawa kwenye taarifa ya polisi
 
1.Serikali(Mamlaka)
2.Tajiri.
Mbele ya hiyo miamba utoboi... mbele ya Maziwa wanalamba... Mbuzi kafia kwa muuza supu.
 
Kumbe kweli bhn, wanalamba Yogurt tu hapo Iringa. Haya ndo mambo yanaogopesha sana wananchi. Unaandikaje taarifa iko biased kiasi hicho? I thought, investigative authorities zinatakiwa kuwa neutral and receptive ya taarifa yeyote inayokuja bila kuchagua upande. Aya bhn, kila la kheri.
 
Asas kawaweka wote mfukoni hao

Hakuna hatua yoyote wakatao chukua,na watu wa iringa huko kwa asas ni kama misukule tu huwaambi kitu

Ova
 
Postmortem haijafanyika ila wameshaanza ku indicate alikua na ugonjwa wa moyo. Yani mwili haujafanyiwa uchunguzi lakin tumeshajua majibu tutakayopewa
Hlafu hapo hapo wanatoa onyo kwa watu wanaojaribu kusema aliuawa kwa kipigo!! Hapa kuna kitu kinafichwa!
 
Inasikitisha na pole kwa waliondokewa na mpendwa wao, mamlaka zimewekwa kwenye mifuko ya watu ni hatari kwa sie walala hoi.
 
Asas ndo kajenga kituo cha polisi Leo hii aje akamatwe Tena,subutuuu
 
Postmortem haijafanyika ila wameshaanza ku indicate alikua na ugonjwa wa moyo. Yani mwili haujafanyiwa uchunguzi lakin tumeshajua majibu tutakayopewa
Nipo hospital ya rufaa hapa iringa huyo jaama kaletwa hapa ashakufa tena kwa kipigo kizito ningetoa ushahid sema Bhas Tu watanijua
 
Back
Top Bottom