Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Mbona mbapenda uongo uongo? Kwani hakuhukumiwa? Kama alihukumiwa kwa hiyo walimfata gerezani na kumuua? Hivi kwanini mnalazimisha taarifa za uongo?Ukinusa vizuri hii taarifa unaona kabisa kuna nguvu ya ziada inatumika kuwasafisha Asas, na hapo ndo unaona ukweli wa taarifa zinazohusu dereva "aliyeuawa".