Leak JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,916 Reaction score 43,505 Mar 2, 2024 #21 Sasso said: Ukinusa vizuri hii taarifa unaona kabisa kuna nguvu ya ziada inatumika kuwasafisha Asas, na hapo ndo unaona ukweli wa taarifa zinazohusu dereva "aliyeuawa". Click to expand... Mbona mbapenda uongo uongo? Kwani hakuhukumiwa? Kama alihukumiwa kwa hiyo walimfata gerezani na kumuua? Hivi kwanini mnalazimisha taarifa za uongo?
Sasso said: Ukinusa vizuri hii taarifa unaona kabisa kuna nguvu ya ziada inatumika kuwasafisha Asas, na hapo ndo unaona ukweli wa taarifa zinazohusu dereva "aliyeuawa". Click to expand... Mbona mbapenda uongo uongo? Kwani hakuhukumiwa? Kama alihukumiwa kwa hiyo walimfata gerezani na kumuua? Hivi kwanini mnalazimisha taarifa za uongo?
Sharbel JF-Expert Member Joined Feb 20, 2020 Posts 1,393 Reaction score 2,759 Mar 2, 2024 #22 Nchi imekuwa ya hovyo, apa ndio tunaona umuhimu wa makundi ya kivita maana hawatendi haki. Nasisi tukianza action tutaanza kuelewana, watu kama hawa ni kutandika nyundo za kichwa tu
Nchi imekuwa ya hovyo, apa ndio tunaona umuhimu wa makundi ya kivita maana hawatendi haki. Nasisi tukianza action tutaanza kuelewana, watu kama hawa ni kutandika nyundo za kichwa tu