Ufisadi kila sehemKama piki piki iko kituoni iache hapo. Waambie wakufungulie mashitaka kesi ikaamuliwe mahakamani. Ila kabla ya kufanya hivyo, kamuone mkuu wa kituo... Hiyo laki mbili ni adhabu ya SUMATRA (nadhani) chombo chako sidhani kama kinaangukia kwenye makosa ya SUMATRA.
Hiyo pikipiki akiiacha tu ikakaa kituoni, siku atakayokuja kuichukua ataikuta ni kopo kabisa, yaani itakuwa imenyofolewa vitu.Kama piki piki iko kituoni iache hapo. Waambie wakufungulie mashitaka kesi ikaamuliwe mahakamani. Ila kabla ya kufanya hivyo, kamuone mkuu wa kituo... Hiyo laki mbili ni adhabu ya SUMATRA (nadhani) chombo chako sidhani kama kinaangukia kwenye makosa ya SUMATRA.
Mkuu unataka kusema pikipiki haisimamiwi na SUMATRA? Kasome vizuri sheria ya Sumatra pia elewa Police ni law enforcers hivyo ana mamlaka ya kuenforce law yoyote ya nchi hiiKama piki piki iko kituoni iache hapo. Waambie wakufungulie mashitaka kesi ikaamuliwe mahakamani. Ila kabla ya kufanya hivyo, kamuone mkuu wa kituo... Hiyo laki mbili ni adhabu ya SUMATRA (nadhani) chombo chako sidhani kama kinaangukia kwenye makosa ya SUMATRA.
Aipige picha wakigusa tu kifaa akirudi anafungua kesi mpyaHiyo pikipiki akiiacha tu ikakaa kituoni, siku atakayokuja kuichukua ataikuta ni kopo kabisa, yaani itakuwa imenyofolewa vitu.