Polisi: Je ni haki kutozwa sh Laki2 kwa kosa la kupita barabara ya one way nikiwa na Pikipiki?

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
Mie niko kahama jana nilijisahauusiku nikapita barabara ya one way basi nikakamatwa na trafic na leo nimeambimbiwa nitoe laki 2 kwa kuwa nikosa la kwanza.Swali je adhabu ya kosa hilia inastahili laki 2 au pungufu ya hapo? je sheria inasemaje? Karibuni kwa ushauri.
 
Kama piki piki iko kituoni iache hapo. Waambie wakufungulie mashitaka kesi ikaamuliwe mahakamani. Ila kabla ya kufanya hivyo, kamuone mkuu wa kituo... Hiyo laki mbili ni adhabu ya SUMATRA (nadhani) chombo chako sidhani kama kinaangukia kwenye makosa ya SUMATRA.
 
Huo ni utapeli wa wazi wazi, kwani kuna uharibifu wa barabara uliufanya???
 
Nadhani ni wakati wa sisi tunaodili na kuuwasilisha mtaala kwa wajifunzaji tubadilike. Tusiseme chanzo kikuu cha mapato ya serikali ni
..... na si kodi kama inavyoandikwa.
 
Kama piki piki iko kituoni iache hapo. Waambie wakufungulie mashitaka kesi ikaamuliwe mahakamani. Ila kabla ya kufanya hivyo, kamuone mkuu wa kituo... Hiyo laki mbili ni adhabu ya SUMATRA (nadhani) chombo chako sidhani kama kinaangukia kwenye makosa ya SUMATRA.
Ufisadi kila sehem
 
Hiyo pikipiki akiiacha tu ikakaa kituoni, siku atakayokuja kuichukua ataikuta ni kopo kabisa, yaani itakuwa imenyofolewa vitu.
 
Kama piki piki iko kituoni iache hapo. Waambie wakufungulie mashitaka kesi ikaamuliwe mahakamani. Ila kabla ya kufanya hivyo, kamuone mkuu wa kituo... Hiyo laki mbili ni adhabu ya SUMATRA (nadhani) chombo chako sidhani kama kinaangukia kwenye makosa ya SUMATRA.
Mkuu unataka kusema pikipiki haisimamiwi na SUMATRA? Kasome vizuri sheria ya Sumatra pia elewa Police ni law enforcers hivyo ana mamlaka ya kuenforce law yoyote ya nchi hii
 
Aisee mimi nilijua faini ni sh 30,000 kwa kosa moja sasa kumbe kuna zaidi ya hiyo hadi inakua 200,000 hapo nainunua kwa mara ya pili au nailipia mahari kama sio faini
 
Back
Top Bottom