Mie niko kahama jana nilijisahauusiku nikapita barabara ya one way basi nikakamatwa na trafic na leo nimeambimbiwa nitoe laki 2 kwa kuwa nikosa la kwanza.Swali je adhabu ya kosa hilia inastahili laki 2 au pungufu ya hapo? je sheria inasemaje? Karibuni kwa ushauri.