Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha wanapenda alteza kinomaaKwa JWTZ hapo uongo. JWTZ wana mishahara mikubwa, sema tatizo wanaishi kwa mashindano.
Baadhi hawana stadi za maisha nje ya kuzifahamu silaha, na ndio hawa wanaosumbua watu mtaani kwa maisha magumu.
Mwanajeshi akiona mwenzake amenunua sijui Alteza, na yeye anaenda kukopa ananunua. Mwanajeshi akiona mwenzake kajenga lijumba likubwa, na yeye anenda kukopa anajenga.
Ila ukikuta mwanajeshi anaishi maisha yake halisi, hawezi kufulia na tena atakuwa ana maendeleo makubwa kwa sababu wanapata mishahara mikubwa sana.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Siku nyingine kabla ya kuandika kitu fanya utafiti kwanza.Kiukweli kwa kazi kubwa sana za hayo majeshi. Wanafanya kazi kubwa ya ulinzi na usalama wa nchi yetu, lakini maslahi yao hayaendani na kazi kubwa wanazozifanya.
Lazima maslahi ya wanawake kwenye majeshi hayo yafanane maana hapo unakutana na WP anakung’ang’ania ili uwe nae walau asogeze siku, utakuta
Nakazia mkuu..wanavunjiana Bei kwa mwanamke... Yuko radhi ampe mshahara wote wa mwezi mradi tu amchukue...halafu akajisifu kambini kwamba tayari Fulani Nisha chapa.. .. na pombe.. ..wengi wao Wana ulimbukeni flani..Kwa JWTZ hapo uongo. JWTZ wana mishahara mikubwa, sema tatizo wanaishi kwa mashindano.
Baadhi hawana stadi za maisha nje ya kuzifahamu silaha, na ndio hawa wanaosumbua watu mtaani kwa maisha magumu.
Mwanajeshi akiona mwenzake amenunua sijui Alteza, na yeye anaenda kukopa ananunua. Mwanajeshi akiona mwenzake kajenga lijumba likubwa, na yeye anenda kukopa anajenga.
Ila ukikuta mwanajeshi anaishi maisha yake halisi, hawezi kufulia na tena atakuwa ana maendeleo makubwa kwa sababu wanapata mishahara mikubwa sana.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Siku nyingine kabla ya kuandika kitu fanya utafiti kwanza.
Polisi wote Tanzania kila mwezi wanalipwa posho ya shilling laki tatu bila kujali cheo hii ni nje ya mshahara.
Hiyo posho tu ya Polisi ndio mshahara wa watu wengi kwenye sekta binafsi na wengine ni chini ya kiwango hiko.
Punguza kula makande ili usiwe unaleta mashuzi jukwaani.
Hata wabunge pia tuwafikirie wana majukumu makubwa na majimbo yao ni makubwa pia, tuwaongeze angalau posho ya mafuta.Msiwasahau na watumishi wa TRA nao waongezewe mshahara..wanaishi maisha magumu sana 😰😰
Kazi ya Utumishi wa Umma ni kazi ya kujitolea, na si kazi ya kwenda kujitajirisha, yoyote anaetaka utajiri Ruhksa kwenda kufanya Biashara zake kwa uhuru,na atuachie Utumishi wetu, Wazalendo wa kufanya kazi wapo wengi tu mtaani!!chotera watumishi wote wapewe stahiki sawa mbona unakuwa na ubinafsi
Kiukweli kwa kazi kubwa sana za hayo majeshi. Wanafanya kazi kubwa ya ulinzi na usalama wa nchi yetu, lakini maslahi yao hayaendani na kazi kubwa wanazozifanya.
Lazima maslahi ya wanawake kwenye majeshi hayo yafanane maana hapo unakutana na WP anakung’ang’ania ili uwe nae walau asogeze siku, utakuta mnabaki mnalaumu ooohhh askari ni majambazi kumbe ujambazi mmeuandaa wenyewe yeye yuko station labda benki analinda mabilioni anaona transaction za kibiashara kubwa kubwa then mwisho wa mwezi anapata laki nne au tano huyu mtu akipata upenyo akajua una pesa lazima akuue tu hana jinsi.
Uhamiaji hapo unaandaa ukaguzi wa mizigo ndio unazalisha na wadokozi iwe mipakani au airport. Atakagua aone kitu kizuri unadhani atakiacha kweli au atapewa rushwa watu wavuke kimagendo unadhani ataiacha hiyo rushwa?
Zimamoto huko ndio kuna balaa yaani mishahara mibovu haijawahi kutokea, hawaendi mafunzo maalumu kwa wakati, hawana drones za kuzima moto kwenye majengo marefu, yaani kila wilaya inatakiwa ipate gari la zimamoto lakini pia wawe na walau kisima kimoja kirefu cha maji yasihokauka ili ikitokea tukio wachukue maji hapo sio waanze kuzunguka bila plan, hawa watu hufanya kazi kwa stress sana.
Jeshini ndio yale yale ni vile hawasemi lakini wameandamwa na mikopo isiyo na idadi na wapiganaji wetu ukiongea nao pembeni wanalaumu sana juu ya maslahi yao.
Reforms kubwa za maslahi ya hawa watu zinatakiwa hapo tutawafanya wawe weledi, na Tamaa ya Rushwa itapungua japo kidogo.
Serikali wajalini hao watu ili wapunguze hata uonezi kwa raia wetu wa kawaida.
Kwa JWTZ hapo uongo. JWTZ wana mishahara mikubwa, sema tatizo wanaishi kwa mashindano.
Baadhi hawana stadi za maisha nje ya kuzifahamu silaha, na ndio hawa wanaosumbua watu mtaani kwa maisha magumu.
Mwanajeshi akiona mwenzake amenunua sijui Alteza, na yeye anaenda kukopa ananunua. Mwanajeshi akiona mwenzake kajenga lijumba likubwa, na yeye anenda kukopa anajenga.
Ila ukikuta mwanajeshi anaishi maisha yake halisi, hawezi kufulia na tena atakuwa ana maendeleo makubwa kwa sababu wanapata mishahara mikubwa sana.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Na wao waongeze weledi was kazi kwanzaKiukweli kwa kazi kubwa sana za hayo majeshi. Wanafanya kazi kubwa ya ulinzi na usalama wa nchi yetu, lakini maslahi yao hayaendani na kazi kubwa wanazozifanya.