Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,435
- 4,662
Pengine ndio kitengo cheke, na halafu yeye si mtu wa kukubali kukosolewa kwa makosa aliyofanya.Huyo jamaa kanikwaza hata mimi! kama anahitaji kusaidia angemfuata hata inbox, sio kuuliza maswali ya kejeli, wakati mtu anatafuta haki na msaada wa kisheria
Aibu sana waafrika.