LGE2024 Polisi: Kada wa CHADEMA aliyefariki alipata ajali ya Bodaboda akiwa amelewa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mbona kama unatulazimisha 🤣
 
Wapinzani wawe makini sana Kwa Sasa.Ikiwezekana wasiende kwenye starehe Hadi uchaguzi uishe maana ccm Huwa wanatabia ya kuwanyesha sumu ili kumaliza upinzani.Mfano mzee mangula walimnywesha kipindi kile Bahati nzuri akawahishwa hospitali.
 
ni muhimu sana kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, viongozi waandamizi wake, wanachama na wafuasi wake wote kujiepusha na unywaji pombe kiholela na kupita kiasi.

Pombe si nzuri ndrugo zangu, na matokeo yake ndiyo kama haya mtu kapata matatizo kwasababu ya ulevi anasingizia wengine 🐒
 
Sasa jf kule fb wanasema waliongea na Kanda wa polisi na akajibu yupo eneo la tukio atatoa maeelezo baadae huku polisi inasema mtu alifia nyumbani Tena alipata ajali
 
Hivi haya mapoliCCM kwanini yanapenda kupotosha umma kwa kiasi hiki? Anyway, malipo ni hapa hapa duniani. Yeyote anayepotosha habari hii kwa shabaha ya kulinda uovu wa CCzM,
 
Kesi ya yule dc aliyemtindua bint wa watu marinda mpk kumtoa mbolea imeishia wapi

Ova
 
Ni mwendo wa kuharibiana tu...!!.
Ila naona upande mmoja una power sana.....!!

Wamemuondoa ndugu mpinzani, wamemvizia yuko na alcohol kadhaa kichwani....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…