Polisi KAWE mnatumika kisiasa. Kamwe hatukubaliani na mnayofanya

Polisi KAWE mnatumika kisiasa. Kamwe hatukubaliani na mnayofanya

CCM sasa wanaogopa hadi jogging [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si wanapendwa kwa 99% bungeni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Police , police, police always ni wao tu, yaani kila siku ni malalamiko juu yao,ni kwa nini wasibadilike? Punguzeni kunyanyasa watu
 
CCM sasa wanaogopa hadi jogging [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si wanapendwa kwa 99% bungeni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa huwezi kumsikia yule Mpuuzi mwenye meno kama Ngiri akiongea, anakua ameufyata kama anakunya

IMG_20211002_200305.jpg
 
27 September 2021

BAWACHA ndiyo vinara wetu katika kudai haki na wanawatia moyo waTanzania wote, Fatma Karume awapa hongera kwa BAWACHA kuwa mstari wa mbele kutetea haki

FATUMA KARUME AFUNGUKA MAZITO KUHUSU HALI YA DEMOKRASIA TANZANIA.

Source : Mgawe TV
 
Mbona yeye hajitokezi kwenye hayo Maandamano?
 
Haya mambo ya polisi wenzetu ndiyo wanayaita mateke ya mwisho ya farasi anayekufa...atapiga mateke makali zaidi lakini atakufa tu.
 
Hivi Sirro anahitaji bado uteuzi baada kustaafu kwake hivi Karibuni? Kwanini anaharibu taswira njema ya Jeshi kwa kutumikia vibaya na wanasiasa?Haya Mambo ya ajabu na hovyo yanaharibu umoja na ustawi wa taifa letu.
 
Maandamano si yamepigwa marufuku. Nawapongeza kwa kujaribu kufanya maandamano ya kijanja, eti Kensington la wanawake pamoja na mpiga picha na mwanahabari mnafanya mazoezi ya jogging, ama kweli mm vijana wavumbuzi
 
Back
Top Bottom