Polisi Kenya wakiri kumuua kimakosa mwandishi wa Habari wa Pakistan

Polisi Kenya wakiri kumuua kimakosa mwandishi wa Habari wa Pakistan

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Katika taarifa yake Jeshi hilo limeahidi kufanya uchunguzi na kuchukua hatua zinazostahili kwa wahusika waliompiga risasi Arshad Shariff.

Mwandishi huyo alipigwa risasi kichwani baada maafisa kumfananisha na majambazi waliokuwa wakiwatafuta kwa madai ya kuiba gari jijini Nairobi.

Kifo chake kimezua taharuki kiasi cha Waziri Mkuu wa Pakistan Shehbaz Sharif kumpigia simu Rais William Ruto kutaka haki na uwazi viwepo katika sakata hilo.

=======================

The National Police Service says it is investigating the death of top Pakistan journalist Arshad Shariff which has turned into a diplomatic nightmare between the two countries.

While sticking to the statement released by Magadi Police, NPS, in a letter signed by Police Spokesperson Bruno Shioso, expressed regret following the incident.

“NPS regrets to announce an incident that occurred last night along Kwenia farm/Kamukuru marram road within Magadi, Kajiado where a foreigner national namely Arshad Mohammed Shariff, a Pakistan national aged 50 years was fatally wounded by a police officer while a passenger in a motor vehicle KDG 200M. At the time of the incident, deceased was in the company of his brother Khurram Ahmed,” reads part of the statement.

Sharif was being driven in a vehicle by his brother Khurram Ahmed when they drove through a police roadblock along the Kiserian-Magadi road.

Shariff, 50, died after he was shot in the head by Kenyan police officers after going through a police barrier. Police claim his death was a result of "mistaken identity" as officers were pursuing robbers who had stolen a car in Pangani, Nairobi.

"It started when officers from DCI Starehe circulated a report of theft of a motor vehicle/abduction vide OB 70/23/10/2022 that one Douglas Wainaina parked his motor vehicle registration number KDJ 700F outside an electrical shop and left his son namely Dancan Kamau inside the said motor vehicle," reads the statement.

The officers sprayed the car with nine bullets and one hit the celebrated journalist killing him on the spot.

“National Police Service regrets this unfortunate incident. Competent authorities are currently investigating the incident for appropriate action.

The Ag. IG on behalf of the Service condoles with the family and friends of the deceased,” reads the statement.

His death has sparked a global uproar with Pakistanis led by their Prime Minister Shehbaz Sharif on Monday telephoning Kenya's President William Ruto demanding a fair and open investigation into the shocking incident.

CITIZEN DIGITAL
 
Ukiangalia picha
Ile ilikuwa assasination maana bullet to the head and back.

Afu aliyeuliwa ni mpandaji
 
2e3OawSGcO12tGUCm9TA6i0oWm4JypTk3FNkfAyfPSEK231Md0Gr1iXG_n6NJ3xUFni1hmyWOzU_0-KehI78Fby1jksn39-0HEvBaAZA=s1200

Journalist Arshad Sharif​
 
Tayari kuna mashaka makubwa polisi wa Kenya kupokea rushwa kummaliza mpizani

A Pakistani journalist living in hiding was killed by police at a roadblock in Kenya​


October 24, 202210:38 AM ET
THE ASSOCIATED PRESS
ap22297361154838_wide-3dc4f5f708dfa0e3d7ee0ac6ff86a438baf1b8c4-s1100-c50.jpg


Senior Pakistani journalist Arshad Sharif poses in December 2016 for photograph prior to recoding an episode of his talk show at a studio in Islamabad.
AP


NAIROBI, Kenya — A senior Pakistani journalist living in hiding in Kenya was shot and killed by police after the car he was in sped up instead of halting at a roadblock near Nairobi, the police said on Monday.

Kenyan police expressed regret over the incident, saying it was a case of "mistaken identity" during a search for a similar car involved in a case of child abduction.

Arshad Sharif, 50, left Pakistan in July to avoid arrest over criticizing the South Asian country's powerful military.

Sharif left Pakistan in July to avoid arrest following a citizen's complaint against him on allegations of maligning the country's national institutions, a reference to the military. His whereabouts were not publicly known; most of his friends knew only that he had spent time in Dubai, the United Arab Emirates, and London.

He was also a critic of the government of Prime Minister Shahbaz Sharif, who has repeatedly said he believes in freedom of the media READ MORE : A Pakistani journalist living in hiding was killed by police at a roadblock in Kenya

Pakistani journalist shot dead at Kenyan police roadblock​



Source : KTN News Kenya
 
Wataalamu wa IT na TEHAMA raia wa India wadaiwa kutekwa na polisi kisha maiti zao kutupwa msituni nchini Kenya.

RAIS ATOA AGIZO MAAFISA WA POLISI KIKOSI MAALUM CHA TASK FORCE WAKAMATWE

Rais wa Kenya Mh. William S. Ruto aagiza kikosi maalum cha ndani ya polisi kinachotuhumiwa kuwateka na kuwapoteza mamia ya raia bila kufuata utaratibu wa PGO kivunjwe na askari hao wa kikosi hicho wachunguzwe na kuchukuliwa hatua sahihi kwa mujibu wa sheria za Kenya.

'Very disturbing': India on two missing Indians feared killed in Kenya​

India Today Web Desk
New Delhi,UPDATED: Oct 25, 2022 09:22 IST
zulfiqar_khan_0-sixteen_nine.jpg

Former media executive Zulfiqar Ahmed Khan has been missing since July. (Photo: Instagram/zulfizak)

India has described the circumstances surrounding the abduction of two Indians in Kenya as "very disturbing". The Indian envoy to Kenya on Monday met Kenyan President William Ruto and requested him to expedit the investigation into the matter.

Earlier there was a media report that said Zulfiqar Ahmed Khan and Mohammed Zaid Sami Kidwai, who were part of Kenyan President William Ruto's digital campaign team, were killed by a disbanded group. The report cited a close aide of the Kenyan President who claimed that the Indians were indeed killed.

However, it is learnt that the Kenyan government has not said anything officially on the report ... READ MORE : source : 'Very disturbing': India on two missing Indians feared killed in Kenya
 
Inahuzunisha. Ila bora hata wao wanakiri. Kule kwetu Umuofia wangekana katakata.
 
Tayari kuna mashaka makubwa polisi wa Kenya kupokea rushwa kummaliza mpizani

A Pakistani journalist living in hiding was killed by police at a roadblock in Kenya​


October 24, 202210:38 AM ET
THE ASSOCIATED PRESS
ap22297361154838_wide-3dc4f5f708dfa0e3d7ee0ac6ff86a438baf1b8c4-s1100-c50.jpg


Senior Pakistani journalist Arshad Sharif poses in December 2016 for photograph prior to recoding an episode of his talk show at a studio in Islamabad.
AP


NAIROBI, Kenya — A senior Pakistani journalist living in hiding in Kenya was shot and killed by police after the car he was in sped up instead of halting at a roadblock near Nairobi, the police said on Monday.

Kenyan police expressed regret over the incident, saying it was a case of "mistaken identity" during a search for a similar car involved in a case of child abduction.

Arshad Sharif, 50, left Pakistan in July to avoid arrest over criticizing the South Asian country's powerful military.

Sharif left Pakistan in July to avoid arrest following a citizen's complaint against him on allegations of maligning the country's national institutions, a reference to the military. His whereabouts were not publicly known; most of his friends knew only that he had spent time in Dubai, the United Arab Emirates, and London.

He was also a critic of the government of Prime Minister Shahbaz Sharif, who has repeatedly said he believes in freedom of the media READ MORE : A Pakistani journalist living in hiding was killed by police at a roadblock in Kenya
Huu mchongo toka Pakistan huko huko
 
25 October 2022
NAIROBI, KENYA

MAUAJI HOLELA NCHINI KENYA

Jinsi wageni wa Ruto walivyouawa


Jinsi Wageni Wa Ruto Walivyouawa​

NA SIMON CIURI

NYARAKA za mashtaka zilizowasilishwa kortini mnamo Jumatatu zimefichua jinsi polisi walivyowaua raia wawili wa India na dereva wa teksi kikatili.

Raia hao wa India – Mohammed Said Sami na Zulfiqar Ahmed – walikuwa humu nchini kusaidia muungano wa Kenya Kwanza unaoongozwa na Rais William Ruto kufanya kampeni za urais zilizotamatikia katika uchaguzi wa Agosti 9.

Maafisa wanne wa kikosi maalum (SSU) kilichokuwa chini ya Idara ya Kuchunguza Uhalifu (DCI) walifikishwa kortini jana lakini hawakufunguliwa mashtaka.

Washukiwa hao pia wanashutumiwa kuua dereva wa teksi Nicodemus Mwania, Mkenya, aliyekuwa akiendesha gari lililotumiwa na raia hao wa kigeni.Miili ya watatu hao ilipatikana wiki iliyopita katika Msitu wa Aberdares, Kaunti ya Nyeri, miezi mitatu baada ya kuuawa kwao mnamo Julai 2022.

Hakimu mkuu Diana Mochache, wa Mahakama ya kuamua kesi za ugaidi iliyoko eneo la Kahawa, Kaunti ya Kiambu aliombwa awazuilie Peter Muthee Gachiku, Francis Muendo Ndonye, John Mwangi Kamau, na Joseph Kamau Mbugua kwa siku 30 huku uchunguzi ukikamilishwa.

Bi Mochache atatoa mwelekeo kesho iwapo ataamuru wanne hao wazuiliwe kwa siku 30 au la.

“Uchunguzi katika mauaji ya Sami na Ahmed pamoja na Mwania unakumbwa na utata na changamoto si haba kwa kuwa unahusisha uchunguzi wa kina wa mawasiliano ya simu na mitandao ya kidijitali,” Bi Mochache alifahamishwa na Bw Michael Kirui, afisa anayechunguza kesi hiyo.

Bw Kirui alimkabidhi Bi Mochache ushahidi wa kina kuhusu jinsi Sami na Ahmed walivyoandamwa na maafisa hao wa DCI kabla ya kukamatwa nao na kusafirishwa hadi msitu wa Aberdares na kuangamizwa.

Ushahidi uliowasilishwa mahakamani na Bw Kirui, kupitia afidaviti, ulisimulia jinsi maafisa hao wanne walivyonasa mawasiliano ya wahasiriwa hao na kuwaandama kabla ya kuwatia nguvuni.

Bw Kirui ‘alifichua’ kwamba raia hao wa India walikuwa wanawindwa ili wauawe ila haikujulikana ikiwa wangetolewa roho lini.

Hata hivyo, Bw Kirui anayehudumu katika kitengo cha masuala ya ndani ya idara ya polisi hakueleza sababu na kiini cha kuwaua Sami na Ahmed.

Bw Kirui alidokeza kuwa washukiwa hao wanne walishirikiana na maafisa wengine wa DCI.

Mawakili Danstan Omari na Aranga Omaiyo wanawatetea wanne hao; Muthee, Muendo, Mwangi na Kamau.

Kwa mujibu wa Bw Kirui, “Muthee ndiye aliyekuwa kamanda wa operesheni hiyo iliyojumuisha utekaji nyara wa Sami na Ahmed pamoja na Mwania.’’

Mahakama ilijuzwa kuwa Muendo ndiye aliyekuwa dereva wa gari lililowateka nyara na kuwasafirisha Sam, Ahmed na Mwania hadi kwa msituni walikouawa.

Hasa Mwangi alitambuliwa kuwa dereva aliyewasafirisha kwa gari wahasiriwa hao ili kuuawa msituni. Naye Kamau alikuwa miongoni mwa kundi lililowaua Sami na Ahmed na Mwania.

Polisi wanategemea mawasiliano ya simu za wanne hao katika upangaji na utekelezaji wa mauaji hayo.

Lakini Bw Omari alipinga na kukosoa uchunguzi huo akisema unaongozwa na idara ya masuala ya ndani ya polisi badala ya Mamlaka Huru ya Usimamizi wa Polisi (IPOA) ama DPP.

“Haina mamlaka ya kuendeleza uchunguzi,” alisema.

“Tunapinga uchunguzi huu ukiendelezwa na kitengo kisicho na mamlaka ya kuchunguza uhalifu. Ni IPOA ama DPP zilizo na mamlaka ya kuendeleza uchunguzi,” alisema Bw Omari.

Bw Omari alieleza mahakama atawasilisha ombi ya kufutilia mbali uchunguzi huo unaoendelezwa na kitengo kisicho na mamlaka.

“Masuala ya tabia na mwenendo wa polisi yanatekelezwa na IPOA peke yake na kile unachoshuhudia sasa ni siasa mchimbano wa kisiasa,” Bw Omari alisema.

Na wakati huo huo chama cha wanasheria nchini (LSK) kiliomba Rais Ruto abuni jopo la kuchunguza mauaji ya kikatili yanayoongezeka.Pia IPOA imeanza harakati za kuchunguza kitengo cha SSU kinachohusishwa na utowekaji na uuaji wa watu kinyamana na kiholela.
Source : Jinsi wageni wa Ruto walivyouawa – Taifa Leo
 

Nairobi, Kenya​

Disbanding DCI’s hit squad not enough, declare sanctions, Ruto told

The disbanded Special Service Unit (SSU) must be investigated for human rights violations, a group advocating for rights-based policing has said.

The Police Reforms Working Group-Kenya (PRWG) Wednesday said culpable officers who worked in the unit must be prosecuted for deaths, disappearances, and extortion committed.

PRWG, addressing a news conference in Nairobi, said there were 1,264 cases of executions and 237 enforced disappearances done by police, some from SSU, since 2017.

“We are aware that executions, disappearances, torture, and cruel treatment are not only committed by the infamous SSU,” PRWG said. They urged action extended to all security and policing agencies like Kenya Forest Service, Kenya Wildlife Service, Kenya Defence Forces, and the Anti-Terrorism Police Unit.

Past hit squads

This is the third special squad from the Directorate of Criminal Investigation (DCI) to be disbanded in the last 13 years. There are concerns that squads just assumed new names but maintained covert, unlawful operations.

In 2009, a unit codenamed Kwekwe was disbanded. The late Internal Security Minister, John Michuki, set up the squad in 2007 to crack down on the Mungiki sect.

KNCHR report, Cry of Blood, showed Kweke could have been complicit in over 500 extrajudicial executions between June and October 2007. The report said the killings were under official policy sanctioned by the political leadership, the then-Police Commander, and top police commanders.

Ten years later, in 2019, former DCI boss George Kinoti announced the disbandment of another hit group, Flying Squad, that drew some of its over 60 officers from the defunct Kwekwe. At that time, Kinoti scaled down the Special Crime Prevention Unit (SCPU) and renamed it the Special Service Unit (SSU).

In October 2022, President William Ruto disbanded SSU because it carried out extrajudicial killings and enforced differences.

Nation Africa reported that an inquiry on the July 2022 disappearance of two Indian nationals— Mohamed Zaid Kidwai and Zulfiqar Ahmen Khan—and their local taxi driver, Nicodemus Mwania, precipitated the disbandment of SSU. Since 2019 when SSU was formed, many Kenyans have disappeared as the two Indians did—and were later found dead—suggesting a link to the unit’s operations.

Now, PRWG wants the report that triggered Ruto to disband SSU to be made public.

“It is vital that the National Police Service Commission (NPSC) fulfills its role in exercising disciplinary control over police officers,” they said.

“To prevent the creation of units that act outside the law, the Commission must take responsibility for its function and mandate and undertake a radical transformation of the policing institution and system.”

PRWG also said disbanding SSU is not enough.

“We urge the Internal Affairs Unit of NPS to initiate investigations into the activities of the SSU…and to make strong recommendations to the Inspector General of Police and the Director of Public Prosecutions to take action and seek justice and accountability.”

PRWG wants the recruitment and appointment to the police leadership to be reserved for officers without a record of human rights violations.

The advocacy group said the government needs to set aside funds to compensate victims of state atrocities and appoint a national coroner to facilitate an independent probe into questionable deaths.

“Additionally, we urge the Government to ratify the International Convention on the Protection of All Persons from Enforced Disappearance per its constitutional and international obligations,” PRWG said.
Source :
 
africa hatuna polisi tuna wajinga wajinga walioruhusiwa kubeba silaha.
imagine askari unamkuta kalewa tena muda wa kazi
 
Back
Top Bottom