Polisi Kenya wakiri kumuua kimakosa mwandishi wa Habari wa Pakistan

Polisi Kenya wakiri kumuua kimakosa mwandishi wa Habari wa Pakistan

Vikosi vya Wasiojulikana ndani ya majeshi ya usalama kama Polisi ni hatari sana.

Maana hawa wasiojulikana hawafuati mfumo rasmi wa mnyororo wa amri halali toka juu (command and control) hivyo wanaweza kufanya mambo bila hata uongozi rasmi wa juu ktk Polisi kuagiza.
 
africa hatuna polisi tuna wajinga wajinga walioruhusiwa kubeba silaha.
imagine askari unamkuta kalewa tena muda wa kazi

19 October 2022
Nairobi, Kenya


Familia za waliouawa kiholela mikononi mwa maafisa wa polisi wataka haki idumishwe


waziri wa usalama wa ndani Mh. Kithure Kindiki ameapa kukabiliana vikali na wahalifu bila kujali tabaka wala cheo. Ni semi zinazojiri kufuatia malalamiko na madai kuwa watangulizi wake waliohudumu katika wadhfa huo walilegeza kamba katika vita dhidi ya dhuluma za mauaji., familia za waliouawa kiholela hasa mikononi mwa maafisa wa polisi, wanaitaka serikali kuwafungulia mashtaka maafisa hao wala sio kuwahamisha.

01 January 2022​

Nairobi, Kenya

Watetezi Wa Haki Za Kibinadamu Wakashifu Dhuluma Dhidi Ya Wananchi nchini Kenya


Mashirika Ya Haki Za Kibinadam Yameonyesh Masikitiko Makubwa Kufuatia Visa Vya Dhluma Za Polisi Nchi Inapoelekea Katika Uchaguzi Mkuu.

Mashirika Haya Yamesema Kuwa Mwaka Wa 2021 Ulikuwa Mwaka Mbaya Zaidi Kufuatia Dhulma Kati Ya Polisi Na Wananchi Tangu Nchi Hii Kujipatia Katiba Mpya Mwaka Wa 2010.

Mashirika Hayo Yameongeza Kuwa Fedha Zinazotumika Kuimarisha Utendakazi Wa Polisi Hazijazaa Matunda Na Ni Sharti Matunda Ya Marekebisho Katika Sekta Ya Usalama Yaonekane.
 
Back
Top Bottom