Polisi kufunguka leo kuhusu kilichomkuta Dk Ulimboka

Polisi kufunguka leo kuhusu kilichomkuta Dk Ulimboka

Mhhh niko happy sasa coz i real lyk this move especially main charactor KOVA so ndo epsode ya ngapi sijui nahofu inaweza ikasisimua zaidi ila sipendi Dr ahusiswe! Ikiwa tayari tuambiane jamani.... Ohhhh just wanna forget vip mkenya feki naye yupo tena?. So funny.
 
Ulimboka najua unapita hapa...mimi jamaa yako...a commited friend toka Kadava mpaka kwenye "vijiwe"....najua tulipanga nini cha kuongea toka umerudi ili usiwaangushe Watanzania na Drs waliokupigania....Lakin kama umeamua kununulika...then u let us down!huu ni ushindi mkubwa kwa Serikali na Ikulu...Mwanahalisi na muongo na Rama Inghodi ulimsingzia...watu walìhitaji tamko lako ukiwa mzima wa afya njema
 
huyo kova ajichunguze maana anajidai kuongea kuhusu ulimboka na huku hana cha maana. serikali ilitamka kwamba lisiongelewe liko mahakamani yeye anaongea nn?????????????????????????????????????????????????????
shit!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tukitaka kuongea tunaambiwa "LIPO MAHAKAMANI".. Wao wakiamua kuongea RUKSA!.. Haya Mr.Selemani Kova!.
 
Jambo hili liko mahakamani kwa nini Kova alizungumzie? Hawa watu wanajichanganya
 
Ulimboka najua unapita hapa...mimi jamaa yako...a commited friend toka Kadava mpaka kwenye "vijiwe"....najua tulipanga nini cha kuongea toka umerudi ili usiwaangushe Watanzania na Drs waliokupigania....Lakin kama umeamua kununulika...then u let us down!huu ni ushindi mkubwa kwa Serikali na Ikulu...Mwanahalisi na muongo na Rama Inghodi ulimsingzia...watu walìhitaji tamko lako ukiwa mzima wa afya njema

Mlipanga cha kuongea kwani wewe ndio uliyeteswa? au ulikuwa nae wakati anapata mateso?

Hamna cha kupanga hapo, mwache yeye mwenyewe akitaka aseme yaliyomkuta akitaka anyamaze.

Wewe endelea na maisha yako.
 
PM,KOVA na SPIKA kwa nyakati tofauti wamekuwa wakisisitiza kuwa HAIRUHUSIW KUJADILIWA /KULIONGELEA swala la Dr. Uli kwa kuwa LIPO MAHAKAMA, Je! Kova kuliongelea yeye yupo juu ya sheria??
 
jamani si n Kova huyuhuyu alishatuambia mtekaji wamemkamata? Leo tena anataka kutwambia hakuwa mkenya ama?
 
inasitsha wakuu wa idara ya juu wa usalama wa raia wanao lipwa kwa kodi za walalahoi...wanakuwa kama wanasiasa..
 
wakuu wa polc,*usalama* kujiingza kwenye siasa ni janga la taifa
 
Ukiona hivyo washamnyamasisha ulimboka, wanajifanya kuja na maneno matupu ya kuwapumbaza watanzania
 
Kova,zote hizo ni porojo. Ukweli mnaujua nyinyi na Ulimboka.
Tatizo , watanzania ni kutaka kumsemea mtu. Mengi yalisemwa kuhusu kurudi kwa Ulimboka huku wengine wakisema ni mpiganaji na hawezi kuacha kusema kilichomsibu, sasa inakuaje leo wamalizane na Polisi? Huku kote kutapatapa 2, hakuna mtu yeyote anayejua waliohusika na kutekwa kwa Ulimboka zaidi ya majungu, fitina na maneno ya kuhisi na kusikia mitaani.
 
Back
Top Bottom