Kitaeleweka
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 394
- 88
Samahani kwa kumix mambo. Hivi yule Msemakweli wa ushahidi wa Kagoda nk yuko wapi siku hizi?
Sijawahi kusikia Kova ameongea point
Tutazungumza na wananchi na wanahabari kwa ujumla kuhusu mambo mengine yanayohusu usalama wa nchi pamoja na hatua tulizofikia katika uchunguzi wa kitendo cha kutekwa na kupigwa kwa Dk Ulimboka, alisema Kova.
Mkuu ule ugonjwa uliomuuwa Kanumba? that why siku ile alimuaga kwa saluti ya kijeshi wakati ni raia, so you meant siku akiongea point anakanumba? lol.Na siku akiongea point ya ukweli atazimia au kupata mtikisiko wa ubongo.
Mkuu ule ugonjwa uliomuuwa Kanumba? that why siku ile alimuaga kwa saluti ya kijeshi wakati ni raia, so you meant siku akiongea point anakanumba? lol.
MACHO NAONA KAMA HUWA HAYANA USHIRIKIANO AMA?Hakika mkuu, tena umenichekesha na kunikumbusha jinsi alivyompigia marehemu raia saluti. Huwa akiongea naona kituko fulani halafu kama ni uongo utaona tu jinsi analazimisha coordination ya macho. Hata yeye anajuwa siku ikitokea akiongea point ni lazima jambo la ajabu limtokee.
kweli yule angesaidia sana.Samahani kwa kumix mambo. Hivi yule Msemakweli wa ushahidi wa Kagoda nk yuko wapi siku hizi?